Jamani si tumemchagua wenyewe au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani si tumemchagua wenyewe au?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matope, Dec 13, 2011.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Watanzania tunakuwa wakali sana tuna maindi vitu vikubwa je vidogo?Mh si tumemchagua wenyewe au inakuwaje vyama vyote tunamtambua kuwa ndiye mkuu wa kaya!hv hm baba akikosea huwa mtoto anamsahihisha?wadau imekaaje hii najua mtasema sana lkn ndo hvy!kama vp tafuta vyako utumie na ww!
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  mi sijamchagua..muulize FF, Rejao na MS ndo wanamemchagua ila sio mimi chonde chonde..zumbukuku nomaaaaaaaaaa

  bwege.jpg
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tulimchagua,tunampenda,anaweza,anatuvutia,tunampenda saaaana!!!
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi sikumchagua Huyu mjinga na ninaamini watu wengi hawakumchagua, kwa tume ya uchaguzi hii usije ukashangaa hata waliomchagua kura zao hazikuhesabiwa zilitafutwa feki.
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wamama wengi inasemekana walimchagua kwasababu wanavutiwa na sura yake, hivyo kuna uwezekano yakaibuka maandamano kushinikiza sura yake iwekwe haraka kwenye noti.
   
 6. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  hata kama hamukumpigia kura zenu, hali hiyo haizuiii yeye kuwa ndiye presidaa wa tz....!!!
   
 7. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  sredi zingine bana...aah..!!
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mi kiukweli nampenda saaaaana! Tena saana !!!!
   
 9. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Hii thread imenifanya nicheke kweli!
   
 10. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Unajua ss bra bra nyingi sana utekelezaji hakuna tunaudhi sana mara tuandamane tumpige chini wapi wkt tukipanga siku ya maandamano unajikuta uko peke yako so wadau kazi yetu ni kuongea mdomoni duh aisee kama maneno yangewa ndo vitendo tungekuwa mbali sn!oh kaiba kula hatutaki ndo tunaishia hvy tu CHEKI DRC kule ss hv!utafikiri mashoga,tuache hvy tuikomboe nchi yetu!!!!!!!!
   
 11. M

  Masscom Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  inamaana jamaa yuko kuwanufaisha wachache. yeye mwenyewe anajua % yakura zake za ndio na ndio maana mbabe na anajiendeshea nchi ilimradi siku ziende ashakua vyake.
   
 12. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kaka unavyosema ni sawa lkn hebu cheki mambo yanavyojiendea wkt huu kila kitengo wanajinufaisha wao kwanza wabunge wanajipandishia tu posho!ss uliza wameitoa kwenye mfuko gn while budget ilishapita na hakukuwa na ongezeko ktk posho zao?????wabunge wenyewe hakuna kitu hovyo hovyo tuuuuuu!
   
 13. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  You made my day with the cartoon.....LOL....:)
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Nashangaa Mods wanaacha sredi kama hii iendelee kubaki. Ingekuwa tunamwongelea mwizi wa mke wa mtu hapa tayari ingeshafungwa. Nimeshaireport hii thread. Let's wait n see!
   
 15. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ha haha huna haya rejao na roho mbaya zako
   
 16. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  da feicebook book nimekupendaaaga sana pepsi moja please
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hebu tuambie ulimchagua nani? au bado ulikuwa under 18? Hope now utakuwa umesha attain age of majority
   
 18. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Dr.wa ukweli asie na mashaka sijachagua mtu wa dizain hii anaendekeza anasa na uzumbukuku plus plus..mtu gani mshamba asiejua kuvumilia mambo mapya? sasa hii picha hapa ana tofauti gani na mwenyekiti wa halmashauri ya Nkenge anapo shangaa magorofa ya new york?? shame shame rejao mpua..
  kikwe.jpg
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kuwa rais haimaanishi kuwa muda wote uwe serious. Kuna muda wa kurelax na kuinjoi na familia. siyo kila saa ni muda wa kazi.
  Mwangalie Obama hapa akiwa ndani ya PS3
  obama.jpg
   
 20. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hii thread imeanzishwa na mtu anaitwa matope! Sina uhakika kama hayo matope yanamaanisha ubongo au nini. But Kikwete amechaguliwa na watanzania 5,000,000 out of 20,000,000 waliojiandikisha kupiga kura. Its no wonder kura 12000000 zilifutwa na nec ili kumpa ushindi Kikwete. Huhitaji elimu ya PhD kujua kwamba kura zilizompa madaraka kikwete si representative ya tanzanian majority.
   
Loading...