Tanganyika law society wabadili jina!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanganyika law society wabadili jina!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Remote, Dec 14, 2011.

 1. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,880
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Nimesikia tangazo radio clouds fm then wakasemea tangazo hili limeletwa kwenu kwa hisani ya CHAMA CHA WANASHERIA TANZANIA BARA(TLS). Je ni kwamba CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA/TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) wamebadili jina? Nawasilisha
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,668
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Heheheheee hao nao hata hawajielewi.
   
 3. A

  Awo JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 793
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Tanganyika Law Society iko kwa mujibu wa sheria - Tanganyika Law Society Act. Jina haliwezi kubadislishwa kienyeji enyeji - hao Wafu FM watakuwa wamechakachua!
   
Loading...