Stress... Mfukon sina mkwanja! Wananiambia nijiajiri,wananiambia mimi sio mbunifu,lakini cha kushangaza wao wameajiriwa,na wapo tayari hata kulisha watu vinyonga ngozi zibanduke ili waendelee...
I recently surfed to mobile website with webform enabling users to upload pictures from mobile devices/phones. I was wondering if JF can implement such a scheme to enable JF members upload...
Ni basi linalotoka kahama kuelekea mwanza mtu huyo ambae nimekaa nae siti moja amefariki dunia gafla kabla hatujafika shinyanga.
Kwa maelezo ya ndg yake ambae tunae siti hii hii ya watu watatu...
Ndg zanguni hebu tuliangalie hili kwa undani kwa anayejua na atujuze wenzake ambao haituingii hata kidogo. Chandalua kukaa miaka 5 bila ya kuwekwa dawa yeyote inakuja jamani? Mi inanitia shaka sana!
By DAILY NEWS Reporter, 16th December 2011 @ 12:06, Total Comments: 0, Hits: 341
The Managing Editor for Free Media Ltd, Mr Absalom Kibanda was on Friday interrogated by the police for three...
Assalam alaykum
warahmatullahi wabarakatu -ewe mpenda kheir napenda
kuchukuwa fursa hii adhwim
kukuomba ujeufanye biashara
na Allah(.s.w.t) siku ya tarehe
18.12.2011 kutakuwa na
mchango wa...
During this week the world will experience a very big natural calamity ( or more) due to different planetary aspects. For bible users ready Isaya 24 yote. lakini aliitiaye jina la Yahu ndiye...
wadau leo nimekubali Jf nizaidi ya chuo kikuu baada ya kusoma habari ilianza na kichwa UFISADI BILA MAJIBU... na michango ya wadau hakika kuna haja ya kuanzisha gazeti la Jf ili watanzania wengi...
Gharama za maisha zimepanda sana kwa wabunge mji wa dodoma umekuwa mji wa garama sana katika ukanda wa africa,je katika wafanyakaz wa serikali,gharama za maisha zimepanda kwao tu wabunge?
Mstahiki meya wa manispaa ya Ilala Mh. Jerry Slaa amefiwa na bibi yake leo. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake maeneo ya Makongo. Source: Jahazi la Clouds FM
Hakuna Serikali inayoweza kuendelea bila kukusanya Kodi. Hata Mafanikio tunayoyazungumzia ya Mzee Ben, ni ukusanyaji na usimamizi mzuri wa Kodi. Kipindi hicho tulishaanza kuzoea utamaduni mzuri wa...
wadau ukifuatilia kwa makini mjadala wa posho ni zengwe la kuwapumbaaza wananchi walalahoi na kuwafanya wasahau mambo mazito yalikwisha tokea na viongozi wao.Yapo mengi tu na hatujui hatma yake...
Wadau hivi mnakumbuka ule mdahalo wa hamad na kafulila vs mbowe walivyo mtuhumu mboe na chadema kwa mambo ya ajabu?watu hawa wawili ni wa rohoo wa madaraka sana hamad baada ya kukosa ukuu wa kambi...
Hayawihayawi sasa yamekuwa! Tido muhando rasmi aula Al Jazeera Swahili sambamba na Joseph Warungo!
Uwepo wako huko ndugu tido utasaidia kuanika maovu ya serikali ya tanzania chini ya utawala...
hv kwa nini viongozi wetu wanapenda kuomba misaada kwa ajili ya mambo ya maendeleo na vitu vya msingi lakini vitu visivyo na tija wanavimudu kuvifanya.......,? hv kweli sisi baada ya kufanya...
Sasa hivi umeibuka mtindo wa viongozi waliopewa dhamana kutumia ovyo magari ya umma baada ya saa za kazi hata wanadiriki kujiendesha wenyewe wakati taratibu haziruhusu
Jana nilimsikia Julius mtatiro akisema kua hawawezi kumwachia Hamad Rashid kuleta vurugu ndani ya chama chao cuf! Na hivyo wanaJindaa kumwadhibu. Jamani cuf na nyie mnataka kuvuana magamba...
Umkhonto we Sizwe (MK) Spear of the Nation, leo 16/12/2011 jeshi hili la wapigania uhuru wa Afrika Kusini limetimiza miaka 50 tangu liundwe. Kale ka-slogani ka Tumethubutu, Tumeweza na...
Wana JF, leo ni siku ya mwisho kwa watumishi wa serikali na taasisi zake kurudisha fomu za kuomba vitambulisho vya uraia, leo maofisa wengi wa serikali wako katika misururu mirefu ya kurudisha...