Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani ule utabiri wa watu wa hali ya hewa ni kuwa mvua zitanyesha kwa siku tano. Kimahesabu leo ndo siku ya tano kwa maana nyingine leo ni fainali. msije mkaenda viwanja aidha wakati wa kurudi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kova kasema nk marufuku kwa Waislamu kundamana leo, anayebisha ajaribu aone salam za chrismas kutoka FFU! Wakatki huohuo JK ametoa mbuzi na mchele kwa vituo vya watoto yatima ili na wao siku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Guys, Sorry if this question has been asked before. Please direct me to any previous similar post if possible. I would like to know, if you are a Tanzanian living abroad (say US, UK, GE or any...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Kama kumbukumbu zangu ni sahihi huwa kuna kitengo cha maafa ambacho kiko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Tangu tupate janga la mafuriko sijasikia pilikapilika za kitengo hiki. Ningetarajia kuwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna tangazo la Star Times, kila lijapo linaniacha nikiwa na maswali mengi, mno, kwamba watoto hawataki kwenda beach, wala kufanya outiside activities, kwa kisingizio wana kila kitu, yaani decoder...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
...kwanza nawapa pole ndugu zetu wote mliokumbwa na mafuliko Dar,MBEYA na wote mliopatwa na kadhia kama hii pote pote pale Tanganyika.Pili nigependa kuiomba selikari ya Uingeleza kupitia ubalozi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nimepata abari kuwa ngorika imepata ajali eneo la mbwewe mwenye abari zaid please Limegongwa kwa nyuma na lori la Mufindi lililokuwa linataka ku-overtake na liliposhindwa kulikuwa na gari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani mimi naandika ka kitabu kuhusu Muungano wa Tanzania, sasa rejea kichwa cha habari hiki hapo juu, hivi ilipozama MV Bukoba kuna yeyote mwenye kumbukumbu jinsi SMZ (Serikali ya Mapinduzi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam tayari umeandaa eneo la ekari 200 lenye viwanja 2,800 katika eneo la Mbopo, wilaya ya Kinondoni kwa ajili ya wote walipoteza makazi yao kutokana na mvua kali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi huyu mzee wa magogoni huwa anafikiriaga kwanza kabla ya kutoa kauili maana hii kauli si ngeni masikioni mwangu kila maafa ya mafuriko yanapotokea katika mkoa huu, na kwa nini asiwawajibishe...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania Facebook Statistics Continents » Countries » Tanzania By...
4 Reactions
20 Replies
10K Views
Vurugu za wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. John mkoani Dodoma za kuushikiza uongozi uwape fedha za kujikimu zimeibuka tena jana na kusababisha chuo hicho kufungwa hadi Januari 3, mwakani. Hali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kumpongeza mbunge Abudulkarim Shah kwa moyo na kujitolea aliouonyesha kusaidia wahanga wa mafuriko Dar es salaam.kajitolea kukodi boti na kujitolea yeye mwenyewe kufanya kazi ya uokoaji...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
jamani mimi bado sijaelewa hivi wanaotakiwa kuhama maeneo ya mabondeni kutokana na madhara ya mafuriko ni wakazi wa jagwani peke yao maana naona watu wengi pamoja na raisi kutembelea wakazi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimetembelea ukurasa wa facebook wa NAPE na kukuta salamu hizi za rambi rambi kwa wahanga wa mafuriko. Log In | Facebook
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo Hakimu Mteite amewaachia huru Mbunge Sugu na Mzee wa Upako Mwambighija baada yamwenda mashitaka kushindwa kuleta ushahidi ni wa namna gani wananchi waliathirika kwa Mbunge huyo na Viongozi wa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
WAZIRI MAGUFULI ATAKA KUTENGENEZA BARABARA ZIPITIKE Submitted by Mjengwa on 22.12.11 NA MAGRETH KINABO – MAELEZO 22/12/2011 WAZIRI wa Ujenzi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi Mbunge Zungu wa Ilala aliyeapa kuwa atapambana na wanaotaka kuwahamisha wakazi wa bonde la jangwani yuko wapi sasa?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mafuriko yaua 1watu 2 Dar, Mara Madaraja yakatika, usafiri balaa Waokoaji wakimtoa mama huyu aliyepoteza fahamu kutoka kwenye boti ya uokozi eneo la mafuriko Jangwani jijini Dar es Salaam...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
wakati mwingi tunapopata matatizo tunahangaika kutafuta ni nani wa kumlaumu labda ni serikali ama raia wa nchi kwa kufanya kisicho sahihi mpaka tatizo fulani kutokea. naweza kutoa mifano kadhaa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…