Namshangaa Raisi Kikwete kwenye kuwahamisha watu wa mabondeni!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namshangaa Raisi Kikwete kwenye kuwahamisha watu wa mabondeni!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nitonye, Dec 23, 2011.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu mzee wa magogoni huwa anafikiriaga kwanza kabla ya kutoa kauili maana hii kauli si ngeni masikioni mwangu kila maafa ya mafuriko yanapotokea katika mkoa huu, na kwa nini asiwawajibishe watendaji wake wanaotoa vibali vya kujenga pamoja na watu wa tanesco anabaki kulalama kama mwananchi wa kawaida, halafu anazungumzia watu wa mabondeni je na miundombinu mibovu mbona hakuizungumzia, mimi katika hili namshanagaa kwa kweli
   
 2. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  jambo la kushangaza,nchi ipo matatizoni kweli!!!!mtu anapata muda wa kwenda kula bata serengeti!!!!bora mafuriko yamemuumbua na bata zake!!!!!
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa tu , wale watu mfano wa jangwani pale hawajajenga kwa vibali walivamia tu Yale maeneo ... Kuna kipindi walitaka kuhamishwa wakagoma kwamba maeneo waliyopewa ni mbali sana .... Sasa sijui mnataka jk huyu afanye nini ili mridhike .. ametembea dar na mikoa mingine iliyopata majanga mnakuja na uzi eti yupo vacations.. bado ...
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,182
  Likes Received: 10,531
  Trophy Points: 280
  mkwereee! mtamsoma
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hatuzumngumziii JK kama yeye tunamzungumzia kama serikali bana! sasa serikali imeshindwa kuwaondoa watu mabondeni??
  Vp na hao matajili waliojenga magereji yao kwenye mikondo ya maji hata kama nikuitetea serikali tuwe reasonable kidogo tuu!
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...wakivamia mashamba yake au mali zake na wakagoma kuondoka atawaacha?!
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo mtoto akikosea, akataka kuchapwa akagoma anaachwa!!

  Mimi bado namlaumu kwa nini asistick kwenye sheria?? Maeneo yale hayarihusiwi kujengwa, watu wameambiwa, na wakapewa viwanja vinginen anayekataa viwanja vile basi alitakiwa kupewa ultimatum ya muda maalumu atafute kiwanja ahame, haijalishi ataendajenga mbele ya ikulu au police but jangwani ahame.
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo walipogoma na serikali ikanywea.... serikali legelege...
   
Loading...