wanaotakiwa kuhama mabondeni baada ya maafa ya mafuriko dar ni wakazi wa jagwani pekee

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
jamani mimi bado sijaelewa hivi wanaotakiwa kuhama maeneo ya mabondeni kutokana na madhara ya mafuriko ni wakazi wa
jagwani peke yao maana naona watu wengi pamoja na raisi kutembelea wakazi wa jagwani na kusema watahamishiwa sehemu nyingine ............kutokana na maafa....hii inamaana wakazi wa kigogo,vingunguti na tabata waliojenga karibia na mto msimbazi......hawatahamishwa maeneo yale na wakazi wengine waliojenga mabondeni .......watabakia palepale tuu
 
Nafikiri msoma hotuba wa taifa alisema wanaokaa mabendeni wahame na hakusema wanaokaa jangwani. Halafu hili la kuhamishwa ndio nalisikia na wewe, wanahamishwa na nani?
 
Back
Top Bottom