Mafuriko yakiendelea je? Mnakumbuka kauli ya mbunge huyu?

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
Hivi Mbunge Zungu wa
Ilala aliyeapa kuwa
atapambana na
wanaotaka
kuwahamisha
wakazi wa bonde la jangwani yuko
wapi sasa?
 
ZUNGUUU, cjui anajisikiaje alivyokuwa anampinga prof. pale mjengon. Prof alisema anataka kujenga bustan ya jiji. Ndio maana, i hate politician and politics
 
kuna akina dada wawili walikuwa wanahojiwa na kituo cha redio cha FM. Walieleza namna walivyookoka kuzama. Cha ajabu mtangazaji alipowauliza kwanini hawahami hayo makazi yao..walijibu, 'hatuhami ng'o,kwanza nyumba zetu nzuri,full tiles!' haya tafakari
 
yupo kula pizza kwao uarabuni . mtakoma kuchagua rangi km wasukuma walivyokuwa wanamchagua rostam msukuma halisi eti wao hawana msomi mwenye uwezo wa kuwa mbunge .endeleeni kuchagua sura za kifisadi km ile ya kikwete
 
Back
Top Bottom