Kesi ya Mbunge wa Mbeya yatupiliwa mbali

Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,768
3,232
Leo Hakimu Mteite amewaachia huru Mbunge Sugu na Mzee wa Upako Mwambighija baada yamwenda mashitaka kushindwa kuleta ushahidi ni wa namna gani wananchi waliathirika kwa Mbunge huyo na Viongozi wa Chadema kufanya mkutano bila kibali tuhuma ambazo zimeonekana hazikuwa na ukweli wowote
 
Mkuu hiyo heading mbona laini sana. Weka heading iliyokwenda shule, mfano 'JESHI LA POLISI CHALI', 'POLISI WAGARAGAZWA', 'SUGU ARUKA KIHUNZI' n.k
 
mwendesha mashataka wa tanzania lazima uwe na roho kama ya mwendawazimu. Mipolisi yenyewe inazoa na kukabidhi bila hata kupima uzito wa kesi
 
Mkuu hiyo heading mbona laini sana. Weka heading iliyokwenda shule, mfano 'JESHI LA POLISI CHALI', 'POLISI WAGARAGAZWA', 'SUGU ARUKA KIHUNZI' n.k

​ametumia lugha laini ili watu wa rika zote waupokee ujumbe wake. of-course ujumbe umekamilika!
 
Kwa hali halisi ya Mbeya, upande wa mashitaka lazima wanywee, maana Peoples Power ya Mbeya ni Unstoppable!
 
​ametumia lugha laini ili watu wa rika zote waupokee ujumbe wake. of-course ujumbe umekamilika!

ok. mimi nilitaka awafanye kama ambavyo wenyewe huwa wanawapeleka watuhumiwa kwa mbwembwe utadhani wana ushahidi wa kutosha
 
Mwendesha mashitaka wa ccm hakuwa na hoja yoyote ya kuieleza mahakama ?

Wako "business" wanakusanya ushahidi kwa ajili ya kesi ya uchochezi dhidi ya Samsoni Mwigamba, Absalom Kibanda na Theophil Makunga. Kwahiyo waendesha mashtaka wote wako dsm kwa ajili ya kufanikisha mashtaka dhidi ya hao wachochezi.
 
Mkuu hiyo heading mbona laini sana. Weka heading iliyokwenda shule, mfano 'JESHI LA POLISI CHALI', 'POLISI WAGARAGAZWA', 'SUGU ARUKA KIHUNZI' n.k

Yawezekana yeye hana ujuzi wa uandishi wa habari kuweza kuandika kichwa cha habari chenye kuwavutia wasomaji. Ila ujumbe wake umesomeka vizuri tu.
 
Magamba hawana kitu kwa sasa wamechoka sana kifedha na kesi zote za kihuni dhidi ya Chadema zitaisha kwa uwezo wa Mungu
 
Back
Top Bottom