Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ikiwa ni takribani siku nne tu kupita baada ya vyombo vya habari kuandika na kutangaza tukio la wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma kitivo cha Elimu kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huenda hujakutana nayo,lakini ni juzi tu tulikuwa na jamaa tunajadiri,rushwa iko kila kona,mahakamani,police,barabarani(trafic),hospitari,ofisi za huduma za kiserikali,n.k.je,pccb wanaweza maliza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi kama kuna mtu yupo maeneo ya suka kabla haujafika suka kituoni kama unatokea ubungo kuna ajari mbaya imetokea. Watu wengi sana wamejaa na inavyo onyesha ajari hiyo imemuhusisha dereva...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naangalia kipindi cha chereko kinachorushwa na tbc.mtoto wa jenister mhagama anaitwa regina anafanyiwa kitchen party. Mama kageuka mc.had mc kamwambia matron afanye kaz yake kwan mama mtu amekata...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwa wale walioangalia mlimani tv waliona live baadhi ya wakazi wa jagwani waliokuwa wakihojiwa wasema hawatahama maeneo wanayoishi wanacho subili maji yakauke warudi maeneo yao
0 Reactions
6 Replies
1K Views
When will Dar be saved? By Editor 25th December 2011 The heavy rainfall that hit Dar es Salaam this week exposed our failed system, as well as the frailty of the infrastructure of the home...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jumapili ya tarehe 18 Desemba, 2011nilibahatika kusali misa ya kwanza katika Kanisa Katoliki la Mt. Patrice, Morogoro. Niliona maajabu ua kituko hali iliyonilazimu kuandika katika Jamii Forum ili...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika jitihada za kujinasua na tuhuma mbali mbali zinazomkabili Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu sasa kupitia mtandao amefanikiwa kujisajili mtandao wa Recruitment Africa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Aliwahi pata sema bwana mmoja kuwa kama joka limeingia ndani basi liuwage kwanza ndo uanze chunguza limeingiaje ni ujinga kuanza kuchunguza limeingiame wakati bado hujaliua.Tanzania hatuu haya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana Jamvi, Kuna hii tabia ya madereva wa pikipiki almaarufu kama Bodaboda ambao hutumika au hufanyakazi pale mmoja wao anapopata tatizo. Japo sina tatizo na umoja wao huo kutokana na matukio ya...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Inasemekana ni kutoelewana kati ya serikali na JWTZ kutokana na serikali kuvunja makubaliano ya awali kuwa jeshi la wananchi ndilo lishughulikie mipango yote ya kupandisha na kuzima mwenge miaka...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Nikiwa mhanga wa mafuriko, nashukuru member Mmoja wa JF Kanipa Hifadhi na mzenji wangu. Bw Msimbe alikuwa juu sana kusaidia mafuriko ya Kilosa! Kwanini hatuoni juhudi sisi wa jangwani? AMA kule...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Maiti zaidi zaopolewa Dar Friday, 23 December 2011 20:01 Mwananchi WALIOKUFA WAFIKIA 41, CHADEMA, CUF WAOMBELEZA,WENGINE WAANZA KUREJEA MABONDENI Waandishi wetu Mwananchi MIILI...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
JESHI la Polisi Kanda ya Zanzibar limeiomba Jumuiya ya Maendeleo ya Wavuvi ya Watu wa Kojani (KOFDO) kutoa ushirikiano wa kiulinzi katika maeneo ya baharini ili kuweza kukabiliana na tishio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi posho wanapewa ile ile ama kunakuwa na posho? Alafu wengi ni wale wa chama chetu cha uzembe kila kukicha
2 Reactions
17 Replies
2K Views
By Mkinga Mkinga The Citizen Reporter Dar es Salaam. The United Nations has relocated some of its operations to temporary offices in Dar es Salaam following destruction caused by recent flooding...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasoma kwa furaha habari za wachimba madini 33 waanaookolewa huko Chile baada ya ajali iliyowafungia chini ya ardhi kwa miezi miwili. Najiuliza hivi Tanzania tunakosea wapi? Kwa nini sisi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
vazi la taifa ndo haya haya mavazi tunayo yavaa. sio kusema eti hatuna mavazi hadi kamati iundwe kutafuta vazi la taifa kama tuna tafuta vazi la chama fulani au vazi la kundi fulani la watu. hilo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Binafsi nashindwa kuelewa utendaji wa jeshi polisi hasa kanda maalumu ya dsm.hivi hawajui kuwa kuna kikundi cha wahuni maarufu kama MATEMBO hapa ubungo mataa au ndio kulindana.Hiki ni kikundi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heri ya X MASS wakazi wa Mji mzuri Morogoro, mji msafi unaovutia na kupendeza katika maeneo mengi. Tatizo kuna baadhi ya watu wanaochafua sifa ya mji huo. Nyakati za mchana ni wastaarabu wa hali...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…