vazi la taifa lipo, sio sindano iliyopotea hadi ruge ashiriki kulitafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vazi la taifa lipo, sio sindano iliyopotea hadi ruge ashiriki kulitafuta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Dec 25, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  vazi la taifa ndo haya haya mavazi tunayo yavaa. sio kusema eti hatuna mavazi hadi kamati iundwe kutafuta vazi la taifa kama tuna tafuta vazi la chama fulani au vazi la kundi fulani la watu. hilo vazi mtalitengenezea wapi? China?. tungeanza na kamati ya kutafuta kwanini ahadi za kikwete hazitekelezeki halafu ndo ikaja kamati ya kwanini watanzania ni maskini. mavazi hayana tija kwa wananchi wanao vaa vitambala. mumeshindwa kujitambua watawatambuaje kwa mavazi? nakutakien x-mas njema. Mia
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  No more comment
   
 3. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Akina ruge na joe katika shughuli zao za kila cku sijawahi ona wakipiga hata nyimbo za kuuenzi utanzania zaidi ya mijinyimbo za wasanii wao feki. Wao kazi kubwa ni kushabikia, kukumbatia na kuukuza uzungu cheki hata nyimbo zipigwazo ktk station yao, halafu uniambie ndo waongoze kamati ya kutafuta utanzania (mavazi point of view) hell no hiki ni kituko na waziri uteuzi wake kafanya kiupendeleo cjui kwa sababu ya ukaribu walionayo na bwana joe! Kamati hiyo ut's a joke mtaniambia kitakachotokea huko
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280

  hii kamati imepewa ulaji tu. Tanzania hatuna watalaam wa mavazi? hii kashfa.mia
   
Loading...