Wapi Sanctus Mtsimbe!?

Wapi Sanctus Mtsimbe!?

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,283
Reaction score
4,553
Nikiwa mhanga wa mafuriko, nashukuru member Mmoja wa JF Kanipa Hifadhi na mzenji wangu. Bw Msimbe alikuwa juu sana kusaidia mafuriko ya Kilosa! Kwanini hatuoni juhudi sisi wa jangwani? AMA kule kilosa ilikuwa cheap popularity na kujinufaisha?
 
Pole mkuu kwa mafuriko. Huyo Msimbe ni nani ama ni yule jamaa alikuwa anjishughulisha na kataasisi fulani sijui ka Tanzania Proffesionals? Mzee kilosa watu walikuwa wanaweza kuonekana nadhani walienda wachache sasa hapa Dar nani atakuona!
 
Ni huyo huyo jamaa nadhani ID yake ya JF ndo hiyo! wabongo Kila kitu deal
 
Jamaa hayupo tena Tanzania,yupo nje ya Nchi ni muungwana sidhani kama alitaka popularity.
 
Jamaa hayupo tena Tanzania,yupo nje ya Nchi ni muungwana sidhani kama alitaka popularity.

Okay kuna wale wenzake walikuwa wanapiga picha wakigawa magodoro wako wapi ?
 
Jamaa hayupo tena Tanzania,yupo nje ya Nchi ni muungwana sidhani kama alitaka popularity.
Ooooh,
Mtsimbe ni kichwa sana huyu jamaa!
Nilicho na uhakika nacho ni kwamba anasoma JF kila siku, ila suala la kutoa msaada kwa waathirika sina maelezo amelichukuliaje!
Huwezijua huenda last tym walipata Negative responce kutoka kwa prospective wachangiaji, maana ishu ilikuwa kuchangia kwa SMS!
 
Baba Mchungaji, heri ya Krismas. Mambo ya timing.
 
Jamaa hayupo tena Tanzania,yupo nje ya Nchi ni muungwana sidhani kama alitaka popularity.
hata watanzania waliopo ughaibuni wanatakiwa watusaidie katika hili. Kwa hiyo Tanzania Professionals haipo tena ameondoka nayo?
 
nikiwa mhanga wa mafuriko, nashukuru member mmoja wa jf kanipa hifadhi na mzenji wangu. bw msimbe alikuwa juu sana kusaidia mafuriko ya kilosa! Kwanini hatuoni juhudi sisi wa jangwani? Ama kule kilosa ilikuwa cheap popularity na kujinufaisha?

heee!!
 
Nikiwa mhanga wa mafuriko, nashukuru member Mmoja wa JF Kanipa Hifadhi na mzenji wangu. Bw Msimbe alikuwa juu sana kusaidia mafuriko ya Kilosa! Kwanini hatuoni juhudi sisi wa jangwani? AMA kule kilosa ilikuwa cheap popularity na kujinufaisha?
Acha ukuda mchungaji/ au mchugaji? waswahli wanasema tenda wema uondoke usingoje shukurani..............
 
mnh yaani kwa vile ulimuona last time,na sasa unataka umuone tena imekuwa ni kazi yake kusaidia na sio kuifanya kwa free will??? makubwa.
 
Mchungaji mbona umeuliza juu ya huyo Msimbe na mafuliko ya Kilosa lakini haujauliza kwanini Invisible nae haonekani Jangwani wakati JF ilisaidia sana mafuliko ya Kilosa?
 
rev. Good point i asked myself the same qn last week nilipokua napitia archives za jf. Nilichoconclude ni kwamba anayetafuta hachoki akichoka keshapTa.
 
Those days Mtsimbe alikua rais wa TPN. Kwa sasa rais wa TPN ni Bw. Phares Magesa kama sikosei. Pia nimesikia bw. Phares akihamasisha wana TPN kutoa michango. Im sure they have or are doing something. Mtsimbe kwa sasa yuko nje ya nchi kikazi.
 
Na pia yuko kwenye Basketball kama sikosei! Tunajilimbikizia vyeo!
 
Mchungaji mbona umeuliza juu ya huyo Msimbe na mafuliko ya Kilosa lakini haujauliza kwanini Invisible nae haonekani Jangwani wakati JF ilisaidia sana mafuliko ya Kilosa?

Invisible alikuwepo ila usingewezea kumuona with naked eyes!!He is invisible
 
alikuwa kwenye msafafa wa Rais au alikuwa kwenye kikosi kazi cha uokozi?
 
Those days Mtsimbe alikua rais wa TPN. Kwa sasa rais wa TPN ni Bw. Phares Magesa kama sikosei. Pia nimesikia bw. Phares akihamasisha wana TPN kutoa michango. Im sure they have or are doing something. Mtsimbe kwa sasa yuko nje ya nchi kikazi.

Ni kweli TPN wameshaanza kuhamasisha watu kuchangia walioathirika na mafuriko! Swali kwa Rev. Je suala ni nani kachangia? Tunajuaje kama ameshatoa msaada kimya kimya akiwa kama Msimbe? Ni wazi kabisa hawezi kuita vyombo vya habari sasa kwani si kiongozi tena TPN! Inabidi ifike mahali tuweze kutofautisha mtu na taasisi/ mamlaka, si sahihi kabisa kumtupia mtu lawama pasipo kujua yu wapi au amefanya nini?

Big up to TPN for what they have already done...

Msife moyo!
 
Jamani TPN wamesha anza mchakato wa kusanya michango kwa ajili ya waathirika na leo Boxing day wanatarajia kuwasilisha awamu ya kwanza ya michango hiyo kwa walengwa, muwe na subira na si vizuri kumuhusisha mtu na taasisi, hamumtendei haki bwa Mtsimbe!
 
Back
Top Bottom