Tume kibao..kweli tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele..

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
Aliwahi pata sema bwana mmoja kuwa kama joka limeingia ndani basi liuwage kwanza ndo uanze chunguza limeingiaje ni ujinga kuanza kuchunguza limeingiame wakati bado hujaliua.Tanzania hatuu haya majoka bali tuna yaundia tume kwanza.hizi ni baadhi.Tume ya mwakyembe,Tume ya Nungwi zanzibar,Tume ya jairo,Tume ya kufuatilia urejeshwaji fedha za EPA, Tume ya kuchagua vazi la taifa,Tume ya mchakato wa katiba.Kwa hali hii tumethubutu,temeweza,tunasonga mbele.
 
Kwani tume ya mafuriko 2011 haijawa launched officially? Uzuri wetu hata ripoti za tume hatufanyii kazi hadi itokee accident ingine!
 
Tume ya Nyalali,
Tume ya kuchunguza mauaji ya wafanyabiashara,
Tume kibao tu pia zitaundwa,
Tume ya kuchunguza foleni Dar,
Tume ya kuchunguza joto Dar,
Tume ya ajira na utumishi,
Tume ya kuchunguza uchafu Dar,
Tume ya kuchunguza wamachinga Dar,
 
Tume ya Nyalali,
Tume ya kuchunguza mauaji ya wafanyabiashara,
Tume kibao tu pia zitaundwa,
Tume ya kuchunguza foleni Dar,
Tume ya kuchunguza joto Dar,
Tume ya ajira na utumishi,
Tume ya kuchunguza uchafu Dar,
Tume ya kuchunguza wamachinga Dar,[/QUOTE] TUME YA KUUNDA TUME ZINGINE NA TUME YA KUCHUNGUZA TUME ZINGINE HAPO JUU
 
Back
Top Bottom