Matukio ya picha ya kizembe yaliyotokea bungeni 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matukio ya picha ya kizembe yaliyotokea bungeni 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Dec 25, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  263718_182462908481917_100001546267485_425720_1787197_n.jpg
  270366_2034382311945_1615806745_1967168_2890452_n.jpg
  271136_10150279463127938_709232937_9083714_6749742_n.jpg
  View attachment 44052
  375334_10150405673868069_599863068_8397778_1647196187_n.jpg
  Hivi posho wanapewa ile ile ama kunakuwa na posho?
  Alafu wengi ni wale wa chama chetu cha uzembe kila kukicha
   
 2. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa komba na ule mtumbo wake lazima alikuwa anakoroma kama vuvuzela
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Komba alisema alikuwa anatafakari!
  Tyson alisema alikuwa mgonjwa, na jana yake alikuwa amemeza paracetamol.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapo lazima uchoke aiseee...
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hawa watu huwa usiku wanafanyaga nini? Mwone MREMA HADI UDENDA UNAMTOKA!
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  ukifuatilia hapo wote ni wagonjwa, wamezeeka au wanawanga usiku ili kutumiza masharti ya waganga wao kienyeji
   
 7. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Siyo paracetamol, alisema pilton.
   
 8. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hii ni hatari, lo...!
   
 9. Kitaja

  Kitaja JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 2,657
  Likes Received: 700
  Trophy Points: 280
  Hivi mlikuwa hamjui? wanaliombea bunge letu na chama cha magamba ili wapate akilli ya kupambana na hoja moto za CDM.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Waandishi ni nomaaa eti wanaandika Mh. Flan akifatilia kwa makini muswada huku mh kalala usingizi wa kutosha haaaaaaaaa,hv hapo kwa mrema ni udenda kweli au wame-add tu huo udenda?
   
 11. MASAMBI

  MASAMBI Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nchi ya kitu kidogo ndo chanzo cha kupatikana wawakilishi feki kama hawa,Mungu waadhibu na kuwaaibisha upendavyo tena siku si nying zijazo maana wako kwa maslah yao na chama chao si kama masilahi ya nchi yetu.Mbuge analala bungenu akishtuka anapiga makofi bila kujali kama waziri anaongea point au ni pumba.
   
 12. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Wanga tu hao..usiku hawalali wanatengezwa.
   
 13. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
 14. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Hizi picha zitawamaliza 2015
   
 15. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hao ndo wabunge makini wa CCM, wako Bungeni wanafanya walichotumwa na wapiga kura wao.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  siyo pilton ni piriton!!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kinachosikitisha sana, pamoja na images hizi na zile za kushangilia wengine wakitoka bungeni ndizo zilizokua chachu ya kuongeza posho kwa wabunge.... na bila hiyana, baadhi ya wabunge vijana wenye akili wananozijua wenyewe wakawa bize wanajifia kwamba wamefanya kazi sana posho kuongezwa na vitu kama hivyo

  Sidhani kama wanafahamu kwamba images kama hizi, maneno yasiyo na kichwa wala miguu na maisha yao ya juu sana kulinganisha na waliowachagua ni mbegu kali sana ya chuki hasa ukizingatia kwamba ni wabunge wachache sana walio bungeni kuwakilisha wananchi wa majimbo yao.....

  Kwakweli wanatia kichefuchefu.... hasa ukiangalia mauombo yao yalivyo makubwa, wanavaa maguo mazito-mazito na kulala bungeni... can you imagine wanatengeneza hewa za aina gani mule bungeni, and then just after that, wanakwenda kukinga kusaini

  VERY PAINFUL
   
 18. C

  Choveki JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wasilale wana shida gani? Mshiko wao upo palepale, wawe macho au walale bungenii, na wengi bado 2015 tutawachagua tena. Posho yao ndo kwanza wanaongezewa. Pesheni yao ndiyo hiyo tena. Karibia wote weshakuwa wafanyabiashara na mishen town mungu awape nini tena?
   
Loading...