Maajabu ya watu wa MORO Mji kasoro bahari, mchana wastaarabu, usiku sasa loh.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu ya watu wa MORO Mji kasoro bahari, mchana wastaarabu, usiku sasa loh....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Dec 25, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Heri ya X MASS wakazi wa Mji mzuri Morogoro, mji msafi unaovutia na kupendeza katika maeneo mengi. Tatizo kuna baadhi ya watu wanaochafua sifa ya mji huo. Nyakati za mchana ni wastaarabu wa hali ya juu. Lakini usiku wanaubadili mji na kuwa wa watu wasioaminika hata kidogo. Wezi, vibaka, na wadokozi hawalali, usiku kucha wanapita hapa na pale kwa ajili ya mawindo. Makahaba nao wanafanya kazi yao ipasavyo. Kuanzia Kahumba katikati ya mji mpaka Makuti stendi kubwa ya mabasi. Jinsi tulivyochapwa kamera zetu za kupigia picha katika gest moja pale Msamvu. Ni kama kiini macho hivi, Amakweli Morogoro mji kasoro bahari.
   
 2. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Huo ndo mfano wa ngoswe " Penzi kitovu cha uzembe". Ninyi mnaenda kufanya kazi, mnaanza kuchukua makahaba, mnachotarajia ni nini kama si kuibiwa kamera zenu!!?. Hilo ni fundisho, siku nyingine mkiacha wake zenu nyumbani muwe waaminifu, na muziheshimu kazi zenu!!. Heko makahaba wa Moro!!
   
 3. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huo ndio ujasiriamali wa watu ambao hawajaelekezwa jinsi ya kuishi na hivyo wanaishi kama kuku wa kienyeji, matokeo yake badala ya wageni kuwa marafiki kwao wanakuwa kama maadui.
  Tatizo hapa ni uchumi na ukosefu wa mpango wa madhubuti wa jinsi ya kugawana kwa usawa Keki ya taifa. Kumbuka hakuna anaye penda shida ya kulala usiku kucha halali kisa ana search.
  Take care yourself.
   
 4. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Heei, we umejuaje kama makahaba ndo walioiba? Au u mmoja wao!
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hao vibaka,makahaba,wadokozi na majambazi sio wakazi wa moro ni wakazi wa dar au dodoma wanakuja kufanya uhalifu mida ya usiku.
   
 6. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mwenzenu mimi natoka morogoro,Natoka kwenye mji kasoro bahari.Najua nitarudi hata nikienda mbali.Kwa vile moro ndugu wananisubiri.,DAH nilikuwa moro kipindi fulani.ukienda kahumc kama hamna watu.IKIFIKA SA 1.30 MPAKA ASUBUH FULL FUJO.....
   
Loading...