Wakazi wa Jagwani watoa tamko la kutoondoka wala kuhama

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Kwa wale walioangalia mlimani tv waliona live baadhi ya wakazi wa jagwani waliokuwa wakihojiwa wasema
hawatahama maeneo wanayoishi wanacho subili maji yakauke warudi maeneo yao
 
hah jk kawapiga changa la macho. kwa hali ya kawaida huwezi ukawaondoa watu kwa kuwashtukiza. wale watu wamepotelewa na mali zao hawana pakuanzia so nilazima watarudi tuu kwenye makazi yao.
 
Mjini ni mjini tuu jamani.
Ikiwa hao viongozi wanao jiita wamesoma na wanauelewa mbona wameng'ang'ana hapa hapa dar hawataki kwenda kuish dodoma?
 
bado hapo mtu atakuja kulalamikia serikali maafuriko yakitokea tena!... sababu kubwa wanayotoa ni kwamba pale ni town hawana haja ya kutumia nauli kulekea city center ...



 
JK na serikali mbona mna kazi kubwa sana?serikali yako haina fedha,hawa watu utawahamishaje?endapo utaawacha warudi mabondeni likitokea tena janga utasemaje?
 
Magamba Hawajui Hata Maana ya Utawala wa sheria!! Kwani Sheria Wanazotunga Huko Bungeni zina Kazi Gani? Kweli Tanzania Utawala wa Sheria Umeparalize!!!
 
Back
Top Bottom