"Ajali" migodini - Chile wanatushinda nini?

Kiranga

Platinum Member
Jan 29, 2009
71,277
105,480
Nasoma kwa furaha habari za wachimba madini 33 waanaookolewa huko Chile baada ya ajali iliyowafungia chini ya ardhi kwa miezi miwili.

Najiuliza hivi Tanzania tunakosea wapi? Kwa nini sisi hatuwezi kufanya rescue mission kama hii? Ni umaskini unaosababisha hili? Mbona migodi inatoa fedha nyingi tu ? Ni kutoweka kipaumbele katika maswala ya usalama? Ni kumtegemea mungu kupita kiasi ?

http://www.nytimes.com/2010/10/14/world/americas/14chile.html?hp

13chile7_337-span-articleLarge.jpg
 
Wengi wetu vilaza tu, mtu anapelekwa training ya emergency responce canada, akirudi hamna anachojua, hata kumuokoa mtu alieanguka kwenye maji inakuwa shida sembuse aliefunikwa na udongo, hebu tujikumbushe wale waliokufa kwenye mgodi wa Bulynhulu kahama, walikufa wanajiona kabisa kama waokoaji wangekuwa fasta mbona tungeokoa maisha yao
 
wale wa mererani....mpaka vifaa vya uokoleaji viazimwe Geita.....kwa kweli Tanzania bado sana
 
Hata wao wamesaidia na nchi kama Marekani, vile vile NASA wametoa msaada wao mkubwa tu, katika kuwawezesha wachimbaji walio kwama kuendelea kuishi.
 
viongozi wengi wanaendesha nchi kama waendesha wake/ waume zao hamna mipaka watu hawako tayari kufanya kwa ajili ya wengine maslahi binafsi tumeweka mbele hata kodi tunayopata nyingi inaenda mikononi mwa wajanja wachache tunategemea nini ndo haya tunayoyaona leo na yatazidi kuwa mabaya tusipokubali kubadilika na kuwa wazalendo tuna wataalamu wengi ambao hawatumiki ipasavyo tukitegemea kila kitu kwa hisani mtegemea cha ndugu hufa maskini na uwezo wa kufikiri unaisha kwa utegemezi
 
weusi wana iq ndogo? we can relate this with our floods here in dsm

Mwana umeiibua upya hii? Inafaa kwa wakati huu.

Swala la IQ ni complex sana, na liko subjective. Mimi nilifikiri nafikiri hivyo kwa ubishi tu, basi siku moja nilikuwa napiga story na demu mmoja anachukua PhD ya Neuroscience kwa hiyo yeye kupima IQ ndiyo michezo yake, ana subscribe kwenye ma professional journal etc kwa hiyo akawa ananipa industry insiders input.

Akaua kichizi IQ, kwamba "intelligence" yenyewe kui define ni tabu, kui measure ndiyo kabisaa, na huwezi kumpima mtu kwa mtihani wa mara moja.

Kwenye swala la kwamba Waafrika tuna IQ ndogo, I take it una maana tuna intelligence ndogo, hakuna ushahidi wa hili kabisa, kwa sababu genetcally hakuna tofauti weusi na weupe, anatomically hamna tofauti size ya ubongo wala mambo mengine yanayoweza kuchangia.

Ninachoweza kusema ni mambo ya mazingira. Kuanzia challenges nyingi walizopata wenzetu kimazingira kulinganisha na sisi mpaka leg start waliyoipata kwa kutuonea katika slavery/colonization/neocolonialism.

Winston Churchill alishawahi kusema kuhusu Uganda, kwamba hii nchi nzuri sana, ina mazao muda wote wa mwaka, ina hali ya hewa nzuri, akasema hilo linachangia kuwabwetesha wakazi wake. Inawezekana hili likawa na ukweli.

Kama Tanzania ingekuwa kisehemu kidogo, kisicho mazao wala mvua, watu wangetia akili.
 
Kiranga hayo mengine i agree with you but tukija kwenye case ya mazingira vs development siwezi kabisa kukubaliana na wewe.. pwani ya Tanzania kuna mbu wengi sana..tumeweza kufanya kittu gani kukabiliana na hawa mbu? sijui babu zetu walikuwa wanatumia mbinu gani kabla wazungu hawajaleta hizi neti..au unataka kuniambia mbu walikuwa hawaleti changamoto kwao/kwetu?
you cant escape from an iq issue when you are talking about africans..
msome huyu jamaa hapa
By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence.. - by the former South African President P.W.BOTHA in 1985
utapinga ila Kiranga ungekuwa mzungu ungekubaliana na hili suala la iq na kuwa waafrika hawawezi kitu:
i will give you another example: try to compare Zimbabwe before Mugabe and after Mugabe...i mean after independence
 
hii story ya chile ni ya kufurahisha sana,nilifuatilia siku moja kwenye china tv-cctv,waokoaji wa chile walikata tamaa kabisa wakiamini hakuna atakaekuwa hai ndani ya ule mgodi lakini raisi wa chile alifanya kazi nao usiku na mchana huku akisema kwamba kuna kitu kinamfanya ahisi wachimbaji bado wako hai hivyo shughuli ya kawatafuta iendelee mpaka watakapopatikana
 
yule rais ni mzungu
 
Back
Top Bottom