Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ama anaichukulia vice vesa yake? Maana kwa mtu anaefikiria ni zinga la kijembe
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Naona sasa manabii wa uongo wanaanza kujionyesha. Wewe Luseleko unafikia wapi mpaka umfananishe Nyerere na hawa viongozi wa sasa? Au babu wa loliondo kaanza kukata mirija yako ya kiuchumi ndio...
0 Reactions
67 Replies
9K Views
Mahakama nchini Ethiopia leo hii imewahukumu waandishi wa habari wawili wa Kisweden kifungo cha miaka 11 gerezani kutokana na tuhuma za kusaidia vitendo vya kigaidi na kuingia nchini humo kinyume...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo njiani, nimetoka Moro kwenda dar kusherekea sikuu na familia yangu. Nimepanda Abood T 969 ALY, limezima maeneo ya Vigwaza. Tumejaribu kulisukuma haliwaki. Abood vipi tena, ina maana magari...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wapendwa wana jf wenzangu napenda kuwatakia kila la kheri katika mwaka mpya wa 2012, mwenyezi MUNGU mwingi wa rehema azidi kutubariki katika kila jema tufanyalo katika yeye. Once again WISHING U...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Written by Hassan10 // 27/12/2011 // Habari // No comments Marangi vyombo vya ulinzi na usalama huchukuwa sheria kali mikononi mwao zidi ya raia, mambo haya yemezoeleka na vyombo vyetu vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimezunguka maeneo mengi hapa bongo nimekuta kunatabia ya vijana kukaa mahali fulani fulani wakiwa pamoja bila kujali ni wakati gani wasiku.vijiwe hivi viko hata kwenye viwanja vya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wenzetu wamasai wanadumisha mila zao,kwa kuvaa rubega na mablanketi,lakini pindi upepo unapovuma nguo hizo huwa hazina maana kwani sehemu za siri huwa zinabaki wazi.mafuriko yameiumbua serikali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama hukushudia kwa macho mafuriko yale, tafuta picha uone. Ukishaona na kuambiwa watu wanarudi tena katika makazi yao, huwezi kuamini. Utetezi wao wanauliza twende wapi? Swali ambalo linatakiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Barabara mbovu kuliko maelezo kuanzia maeneo ya Nyamwage baada ya kuvuka daraja la Mkapa, ina mashimo ya ajabu kama una wazo la kusafiri na gari dogo e.g opa, noah etc ondoa ilo wazo otherwise...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kupita ccm mbio za urais 2015 kati ya hawa nani angalau ataleta matumaini kwa wananchi na wanachama wa ccm na wasiowanachama?? 1.salim ahmed salim 2.magufuli 3.membe 4.migiro 5.lowasa 6.sita
0 Reactions
12 Replies
1K Views
'To relax our efforts now would be a mistake which generations to come will not be able to forgive.' Members naomba tafakari zenu. Source:Google
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Ninapomkumbuka Mtunzi huyu ambaye ni marehemu huwa nahuzunika sana. Ni kielelezo cha vile kalamu ya mwandishi wa Riwaya anavyotakiwa kuwa. Hakuandika bora ameandika, alifanya utafiti na akajua...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Jamani Bima ya Afya wananikera sana yaani toka nimeomba kupewa kadi sasa ni mwezi wa saba hawajanitengenezea wakati kwenye mshahara hela yao wananikata. Mbona huu ni wizi wa mchana kweupe au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na jumuiya ya wafanyabiashara wa jijini Mwanza imewazawadia zaidi ya Shilingi milioni 11 askari polisi tisa waliowaua majambazi watano waliovamia duka la...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
msako uliofanywa kitivo cha Elimu na kitivo cha sayansi ya jamii.,sanaa na lugha ulipelekea kuwatia nguvuni vijana kumi...ambao ni Kitivo cha Elimu Josephu jona(27 Mwakasitu ikwisa(29 Hamisi...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Mipira ya Kondomu Polisi wa Zimbabwe wanaamini kuna mtindo wa wanawake kuwabaka wanaume Zimbabwe , ili kutumia mbegu zao za kiume katika ushirikina kujitajirisha. Imechukuwa zaidi ya mwaka mmoja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Diwani,Bashir Msangi, wa kata ya Daraja mbili afariki dunia ghafla kwa BP. Source:Mwananchi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
closed and moved:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh! Kweli sikuu ni siku ya kumuasi Muumba? Jana na leo amri ile ya sita inabanjuliwa tu! Tena wengine hadharani,kwenye magari na sasa guest house vyumba vimejaa. Huu uchafu unaofanyika kweli...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…