Serikali imefumba macho, wakazi wa mabondeni wameziba masikio wanarudi kwenye makaburi yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali imefumba macho, wakazi wa mabondeni wameziba masikio wanarudi kwenye makaburi yao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Dec 27, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kama hukushudia kwa macho mafuriko yale, tafuta picha uone. Ukishaona na kuambiwa watu wanarudi tena katika makazi yao, huwezi kuamini. Utetezi wao wanauliza twende wapi? Swali ambalo linatakiwa kujibiwa na serikali haraka! Serikali nayo imefumba macho, imesahau kuwa ni juzi wamepoteza maisha watu zaidi ya 38.

  Inamaana serikali haina taarifa kuwa mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhali kuwa mambo yanaweza yakaharibika tena? Bila shaka wanaorudi katika makazi yao mabondeni wamejitoa muhanga. Serikali nayo imewaacha waendelee kusubiri kuzikwa na vifusi vya nyumba zao..

  LEO KUNA VIKOSI MAHIRI VYA KUPIGA WANAFUNZI VIRUNGU, KUVUNJA MATOFARI KWA KICHWA, NK Lakini hakuna vikosi vyenye uwezo angalau wa kuwajengea wananchi makazi ya dharula wakati wa majanga kama haya. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.....ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CCM......CCM HOYEEE...
   
 2. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  "Twende wapi??" ni swali la msingi sana kwenye mjadala kama huu.....
  Ni lazima lijibiwe, ila watu wa pumba wanarukaruka tu na kukwepa majukumu
   
 3. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kusema tu umewatengea viwanja kule nyuma ya wazo hill haitoshi while hakuna huduma yeyote hawasaidiwi hata tofari moja wakati wanaelewa kabisa wameokolewa wakiwa na nguo za mwilini tu. Chakula chenyewe wanapata kwa mbinde HII NDO TANZANIA YANGU BWANA....... KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI na zidumu fikra za magamba.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Serikali haina pesa, uchaguzi na safari za mkuu zimemaliza kila kitu.
   
 5. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Kweli waende wapi? Au waishi kwenye madarasa ya hizo shule?

  Nani wa kujibu hili swali kwa maneno na vitendo?
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  lakini hiyo kauli ya twende wapi inatoka wapi.kwani gvt imewahi kupima viwanja bonde la msimbazi? Wahame wakapange na wenye uwezo wakatafute maeneo mbadala.ingekuwa walikuwa na viwanja halali ingekuwa ni jukumu la serikali kuwapatia makazi mengine kuepusha maafa
   
 7. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe dogo vipi? Hujawahi kabisa kusikia kwamba 70% ya makazi ya watu wa dar si lamu hayajapimwa?
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  CCM OYEEEEEEE ADIMU JK KWELI ADIMU!!!wametengewa maeneo ambayo hawajagawiwa bado,na serikali imeshindwa kuwapa msaada wa makazi ya dharura,imewatelekeza sasa wafanyeje?
   
Loading...