Je serikali yetu,ni kama mavazi ya kimasai? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je serikali yetu,ni kama mavazi ya kimasai?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Goheki, Dec 27, 2011.

 1. Goheki

  Goheki JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wenzetu wamasai wanadumisha mila zao,kwa kuvaa rubega na mablanketi,lakini pindi upepo unapovuma nguo hizo huwa hazina maana kwani sehemu za siri huwa zinabaki wazi.mafuriko yameiumbua serikali kwa kutokuwa na msimamo.Baba humnyanganya mtoto wembe bila kujali mtoto atalia au la.Kwanini sehemu atarishi watu wabembelezwe kuhama?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkubwa mwenyewe yuko Serengeti- BILILA anafaudu kodi zenu, nani atafanya hiyo kazi?
   
Loading...