Abood unaaibisha sasa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abood unaaibisha sasa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee, Dec 25, 2011.

 1. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Nipo njiani, nimetoka Moro kwenda dar kusherekea sikuu na familia yangu. Nimepanda Abood T 969 ALY, limezima maeneo ya Vigwaza. Tumejaribu kulisukuma haliwaki.

  Abood vipi tena, ina maana magari yako hauyafanyii matengenezo kabla yasafari. UNAABISHA, inakera sana.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  pole sana
   
 3. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu! Heri kuzima kuliko kupata ajali. Mkuu wewe ni mzaramo nini? Maana sisi wa bara huwa twaelekea makwetu.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kuharibika kwa gari ni jambo la kawaida, ndo maana watangulizi walisema Usafiri Kafiri!
  Ila najua una munkari kwasababu unataka kuungana na familia yako haraka iwezekanavyo!
  Pole mkuu, vumilia, kama ankara inaruhusu badili usafiri!
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  mimi wa bara lakini familia ipo dar. Tumefanikiwa kupanda gari lingine, japo nalo lilikuwa limejaza. Yaani ni two in one.
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  mkuu nimekupata mkuu.

  Nashukuru tayari tuweshaondoka na usafiri mwingine.
   
 7. r

  rock and roll Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bahati mbaya
   
 8. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ukome!
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  nikome kusafiri au nikome kupanda magari ya Abood?.
   
 10. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  vyovyote vile.
   
 11. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  taahira wa akili na fikra!
   
 12. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kwani we mwenzangu ulishapona utaahira?kama ni ivo kumbe hakuna mgonjwa atayeshindikana.ata wewe umepona!
   
 13. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Technical problems tu mkuu yaweza tokea hata kwenye private car yako acha kulalama bana!
   
 14. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  nunua lako, kumbe na ubishi wote humu ndani huna ata vitz kwel magamba wanatumia cheap leba...
   
 15. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160  Comment nyingine bana! pole sana Mzee. thanx God umeshapata usafiri mwingine. Bon voyage!
   
 16. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  anapenda kujisifu sana uyo mzee umu ndani,kumbe anavizia magari mkweche hana lolote..
   
 17. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anaujua mtaa unaoishi,atakutafuta akusabakhi!
   
 18. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  Yamkini unachozungumza ni kweli kwamba si kawaida kwa magari ya Abood kuzima hovyo hata mimi sija experience kabisa lakini inachotokea ni kwamba kwa wakati huu kuna kuzidiwa vs tamaa mbele thus wamiliki wengi hutoa hata mabasi yao ambayo hayajakuwa barabarani muda mrefu, nimeshuhudia Dar Express ambayi kwa tulioizoea hili basi nililoliona ni fasheni ya huenda 2005 hivi lakini kwa kuwa kuna vichwa vingi sasa hivi jamaa kaliibua. Well nadhani kichwa cha habari kimekuwa kikubwa kuliko mwili ndio maana wadau wengine wameshindwa kuvaa viatu vyako.
   
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh hapa labda mnajuana wazee....si bado tunakula sikukuu kwa amani labda wenzetu mmemaliza
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndivyo yalivyo hayo mabasi..
   
Loading...