Kwanini selikali yetu isiige na hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini selikali yetu isiige na hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dachr, Jan 2, 2012.

 1. Dachr

  Dachr Senior Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi linapotoke tatizo au janga lolote katika nchi yetu kauli ambazo viongozi wetu huwa wanazitoa zinanishangaza.Ilipotoke tatizo la mtikisiko wa uchumi na gharama za maisha kuwa juu walipoulizwa wakasema ulaya nako hivyo mabom kulipuka,umeme kukatika na ukosefu mwingine wa huduma za jamii utasikia wanakwambia na nchi fulani ipo hivyo.kwamana hiyo kila kichofanyika Tz nilazima tuige kutoka taifa fulani.Tunashudia maandamano nchi ambazo wamezoea kuiga,kwakua tumezoea kuiga basi warusu na mandamano yanayoendelea katika mataifa mengine nasisi tuige.
   
Loading...