Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
Waustralia wamekuwa wananchi wa kwanza kusherehekea mwaka mpya 2012 masaa 2 yaliyopita source BBC news.
Yeah, ni Kiribati ndio wa kwanza kuiona siku mpya kabla ya nchi zote. I somehow know that country kwani nina rafiki zangu kule, ila sema kuna vitu vingi wanaitegemea Australia, kama currency na majeshi.

Na nchi ya mwisho ni ipi au ni zipi wadau?
go and douch yourself!Loliondo
Loliondo
Ni Nsisha wao wako mbele masaa manne.