Ujumbe wangu leo kwako, wewe.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wangu leo kwako, wewe..............

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Dec 26, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Nacheka cheka engmtolera leo,kwa yote yanayonifika leo

  Siwezi kusema mengi sana kwa ndugu na wapenzi wanguu

  Leo nawambia haoooo,yaliyonifika ndugu zangu,basi ndugu zangu nyoooooote mjue Dunia ina mambo.

  Mambo mengi niliyotendewa yakutaka kunivunja nguvu,sasa wanahangaika na lakufanya hawalijui,nimeyajuwa wayatendayo sasa ndio mwisho wao.

  Kazi yao yooote ya bure sasa wanaona ubaya,engmtolera sasa nawashambulia wasijue hata la kufanya.

  Jeuri yao yote sasa imekwisha kabisaaaaaaaaaaaa leo

  Kucheza na kazi za watu sasa wamekwisha kabisaaaaaaa.


  Huo ni ujumbe wangu kwako,wewe.................

  Namshukuru mungu kwa kila jambo,namwomba tena na tena anifkishe 2012 na haya aliyonipa mwaka wa leo ayaongeze na mwaka ujao

  nawatakia mwaka mpya wenye mafanikio tele
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  ni ujumbe katika aina ya taarabu au.........?
   
 3. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Dah! hata thijaelewa!
   
 4. N

  Ndole JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sijapata ujumbe wowote hapo labda mimi sielewi maana ya ujumbe.
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  yeah,ni ujumbe unaopitishwa kwa njia ya wimbo
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  huwezi kuelewa ndugu yangu,kwani kuelewa ujumbe huo kunahitaji akili ya kukokotoa COMPLEX FUNCTION(tena when Z it is analytic at (x,y))

  ni lazime ufikilishe sana ubongo wako ndipo utaelewa
   
 7. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  sio tu huelewi maana ya ujumbe,yaani wewe kuelewa ujumbe uliojificha ni issue kwako(kwa mfano unaelezwa NYAMA YA BATA NI TAMU-ili kuelewa ujumbe huo unahitaji kufikirisha bongo yako)

  na hata ujumbe wangu hapo juu unakuhitaji kidogo changamcha bongo
   
Loading...