Hivi serikali ya JK haiuoni uchochezi unaofanywa na RADIO IMANI?

Status
Not open for further replies.
hii ninasikia inamilikiwa ma chama cha cuf ingawa sina uhakika
 
Serikali ikaanza kupiga ban vyombo habari ' chochezi', JF itakuwa ya kwanza! Vumilia tu ndugu!
 
Serikali yetu inalala usingizi wa pono. Itaamka tu pale amani itakapokosekana kutokana na uchochezi wa radio hii. Hata wakati ule wa 'ze utamu' watu wengi walidhalilishwa lakini serikali haikufanya chochote...mpaka ilipofika zamu ya mkuu wa kaya kudhalilishwa ndipo serikali ilipoamka na kuchukua hatua.
 
Radio Imaan imefanya uchochezi gani ? Ongea kama Mtu mwenye akili zilizokamilika..........! Onyesha uchochezi huo kwa kuainisha A, B, C na kuendelea ! Sio kutuletea mambo yebu ya kwenye vjiwe vya kahawa................!
 
wawaache tu waendelee!! huenda wawaruhusu wasambae nchi nzima ili sote tufahamu ujinga wao upo kiasi gani!! help us to know how to avoid them!!
 
Acha unafki ww kama huna cha kusema siukae kimya!! hata respons kwny post yako waungwana wamekukaushia........hebu siku nyingine uwe unafkiria kwanza
 
Radio Imani inapaswa kuwa na mada za kujenga uislamu zaidi, muache kukosoa imani nyingine. Hilo haliwasaidii. Ukisikiliza radio za dini nyingine wana'focus na waumini wao, kumsifu na kumuabudu Mwenyezi Mungu. Waige mfano huo.
 
JF ni chombo cha habari? Hujui kama JF haihusiki na content inayopostiwa na members? Usiropoke.

JF sio chombo cha habari? Wewe wa wapi wewe? Ze utamu ilikuwa chombo cha habari? Ze utamu ilikuwa user generated content web mbona ililamba ban? Unasoma seminary gani wewe?
 
JF sio chombo cha habari? Wewe wa wapi wewe? Ze utamu ilikuwa chombo cha habari? Ze utamu ilikuwa user generated content web mbona ililamba ban? Unasoma seminary gani wewe?

Hilo nalo neno...
 
Si ajabu hiyo redio inasema ukweli mtupu kama ile makala ya Kibanda basi wanaitwa wachochezi maana hizi zama za kifo cha CCM!!
 
Si ajabu hiyo redio inasema ukweli mtupu kama ile makala ya Kibanda basi wanaitwa wachochezi maana hizi zama za kifo cha CCM!!


Huwa nawasikiliza siku moja moja, and I can assure you kuwa pamoja na sala na kaswida jamaa wanatafsiri issue yeyote kwa mtazamo wa ukristo kuwagandamiza waislamu. Nakupa mfano: Waliwahi kusema kuwa ile kampuni iliyorithishwa mkataba wa kina Richmond haina shida ila inapigiwa kelele kwa kuwa mmiliki wake ni muislamu.
Siku hiyo hiyo wakadai kuwa Rostam anasakamwa kwa kuwa ni muislamu (bila kujua jamaa wala si muislamu japo uislamu hata wa jina hana).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom