Kaka wa Real madrid autembelea msikiti na ku plan kujifunza zaidi kuhusu Uislamu.

Sideeq

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
2,422
434
The international soccer player Recardo Kaka intends to read more about Arabs and Muslims after his 10-day visit to Dubai, the emirate’s Department of Tourism and Commerce Marketing (DTCM) reported.

The 29-year-old midfielder won the best soccer player award in 2007 and another one in 2009 for being the best continental championships’ player.

While visiting a mosque especially created for tourists wanting to know more about Islam, the mega star listened to introductions on the general lifestyle of Muslims and Arabs.

Source: Ricardo Kaka visits Dubai, plans to learn more about Arabs
 
Yah tumezaliwa kujifunza mambo mbali mbali so let hm do wht his soul like
 
Kaka awe very careful maana hawa ndugu ukiwachefua kidogo tu watakuchukia mpaka
kaburini.
 
Wajua kuna watu wanaudini sana kujifunza ni jambo la kawaida tu kwani yeye anajifunza au anaingia uislam..... Tuwache udini unavyopenda wewe sio mpaka mwenzako pia hapende. Ukristo,uislam na kama huna dini vyote hivi ni juu yako na mungu wako. Sio ukiwa muislam lazima mwenzako hawe muislam vice verse. Tuheshimu dini za watu.
 
Mafundisho ya kwanza kabisa yatakuwa kujifunza karate,
Kutengeneza mabomu ya kuuwa watu wasio na hatia
Jinsi ya kujitoa muhanga
No ! Somo la kwanza atakalo jifunza ni kujua ukweli 'Yesu ni Mtu au Mungu ? Je, alisulubiwa au fix ? Hayo mabomu baadae !
 
hivi uislam ni kweli, jamani dini ya kufuga majini/mashetani ni dini ya kweli? kweli mmepota mbali bila kujijua.
Umewahi kukutana na majini na mashetani ? Yanafananaje ? Na yenyewe yameumbwa ?
 
Hapana wewe ndo umeelewa vizuri,Injili yote ipo ndani ya agano jipya.Hajui anachokiongelea!
Injil imo ndani ya agano jipya hivyo 'agano jipya imechukua na Injil' sasa ukiitoa Injil katika 'agano jipya' unabaki na nini ?
 
The international soccer player Recardo Kaka intends to read more about Arabs and Muslims after his 10-day visit to Dubai, the emirate’s Department of Tourism and Commerce Marketing (DTCM) reported.

The 29-year-old midfielder won the best soccer player award in 2007 and another one in 2009 for being the best continental championships’ player.

While visiting a mosque especially created for tourists wanting to know more about Islam, the mega star listened to introductions on the general lifestyle of Muslims and Arabs.

Source: Ricardo Kaka visits Dubai, plans to learn more about Arabs

kichwa cha habari ungeandika kaka wa brazir ambaye anachezea club ya real madrid
 
Back
Top Bottom