John pombe amekiri kiutu uzima.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John pombe amekiri kiutu uzima..........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Jan 9, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Leo Mhe John Pombe Magufuri, ameutangazia umma kuwa daraja la kigamboni liko njiani kujengwa muda wowote kuanzia sasa, binafsi najiuliza ndio kupooza hasira za wana- kigamboni kwa ile kauli yake eti asiye na tsh 200 apige mbizi..? mbona taarifa ya ujenzi wa daraja ilikuwepo muda mrefu na hao NSSF hata mchakato woote wa ujenzi ikiwemo na gharama zilikuwa zikijulikana..? bali ninyi serikali ndio mlikuwa mnazuia kwa kile mnachokijua ninyi( tenda alitaka kupewa mwarabu) baada ya kuwakasirisha watu ndo mkaona muwapoze kwa kauli hiyo.? tunataka matendo siasa zenu za ghilba tumechoka nazo.
   
Loading...