Mmarekani afanyia kitu mbaya dada yetu wa Kitanzania kamtumia mbwa kumwingilia

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.
Raia mmoja wa Marekani (jina tunalo) amemsakizia mbwa, msichana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, na kumsimamia mbwa huyo katika kumwingila msichana huyo kinyume cha maumbule na kumsababishia maumivu makali.

Mzungu huyo ambaye ni mhandisi wa umeme katika mradi mmoja wa umeme wilayani Kiteto, alifanya hivyo januari Mosi mwaka huu, muda mfupi baada ya yeye mwenyewe, kumaliza kumbuka msichano huyo.

Habari zilizothibitishwa na diwani wa kata ya Matui, Othaman Kidawa.

Alisema unyama huo ulifanyika baada ya mhandisi huyo kumnywesha msichana huyo pombe.

SOURCE: MWANANCHI JANAURI 7 2012
 
wazungu oyeeee,nasubiria watu wanirushie vijembe........nitavijibu nikirudi spain nilikoenda kwa ajili ya vacation
 
Huyo mzungu yuko hai?
 
Ni ukatili,unyama na udhalilishaji usiovumilika..ni kumfunga kifungo cha maisha tu.
 
Uroho wa pesa uliowatawala dada zetu wa leo,sambamba na kushobokea "wadhungu", ukute aliahidiwa mshiko mnene hadi akakubali labda badae mmarekani huyo akamgeuka nae kuamua kubumbulua inshu.
 
Huyo dada alikubali mwenyewe

Msichana huyo pamoja na wakazi wa kijiji na mzungu walikuwa wafurahi kwa kunywa pamoja.

baadae wakaamia kwa mzungu huyo na kuendelea kunywa, baada ya ukatili huyo msichana alitelekezwa barabarani ambapo alilala hadi asubuhi wananchi walimkuta akiwa katika hali mbaya na kumpeleka zahanati kwa matibabu
 
mimi nadhani mngeanza kupinga kwanza uchangudoa...hayo ya kulazimishwa kulala na mbwa ni matokeo tu...!
 
wazungu oyeeee,nasubiria watu wanirushie vijembe........nitavijibu nikirudi spain nilikoenda kwa ajili ya vacation

we vipi? Akili yako ina problem! Hukumbuki miaka ile wahehe walipoambiawa kuwa mbwa ni shemeji yao eti kisa chenyewe kama hicho hicho! Umeniharibia siku! Kwenda zako!
 
Kweli umaskini kitu kibaya au ndo wameanza kuteleza ile sera ya ndoa ya jinsia moja.Mahakama mpe haki huyo mtz mwenzetu.
 
mimi nadhani mngeanza kupinga kwanza uchangudoa...hayo ya kulazimishwa kulala na mbwa ni matokeo tu...!

Wewe ndio akili ukwaju kabisa nani kakuambia huyo dada ni changudoa?

Huyo mzungu kafanya unyama huo baada ya kuona huyo mwanamke kapoteza fahamu baada ya kunywa pombe nyingi.

Hivi angekuwa dada yako ungesema hivyo?
 
wapuuzi hawa wazungu kwa vile kwao wanalala na mbwa wanataka kuleta utamaduni wao kwetu afrika
sijaelewa inakuwaje hadi mdaa huu anaaachwa kuwa mzima kwani hakuna mabaunza huko wa kumshughulikia kama alivoshughulikiwa huyo dada?
afu polisi hakuna huko?

Back
Top Bottom