Wakati Tukisubiri Ujenzi wa Barabara za Kupita Juu....

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Ili kupunguza foleni kwa sasa wakati tukisubiri ujenzi wa barabara za kupita juu, na kuhakikisha kuwa Sekta Yetu ya Elimu inakuwa bora zaidi kwa ngazi zote (hasa shule za msingi), napendekeza tuanzishe Kodi ya Kuchangia Elimu kwa Kiwango cha Shilingi Elfu 25 kwa Siku kwa kila gari hapa nchini bila kujali linamilikiwa na nani au taasisi gani.

Nawasilisha.
 
lazima waibe.
ukipenda niite double bii. tchao!

Mkuu,

Kamwe hawataweza. Nchi itabadilika sana kwani kwa siku tutakuwa tukikusanya zaidi ya shilingi bilioni 25 na fedha hizo zitakuwa kwenye akaunti maalum chini ya uangalizi maalum wa vyombo vyote vya habari na mtoa fedha MKUU ATAKUWA SHEIKH MKUU WA TANZANIA AKISAIDIWA NA MAMA MARIA NYERERE.
 
Ili kupunguza foleni kwa sasa wakati tukisubiri ujenzi wa barabara za kupita juu, na kuhakikisha kuwa Sekta Yetu ya Elimu inakuwa bora zaidi kwa ngazi zote (hasa shule za msingi), napendekeza tuanzishe Kodi ya Kuchangia Elimu kwa Kiwango cha Shilingi Elfu 25 kwa Siku kwa kila gari hapa nchini bila kujali linamilikiwa na nani au taasisi gani.

Nawasilisha.

kwa hakika wewe hujawahi kumiliki Gari.

Yaani kisa kumiliki Gari kila siku nitoe 25k!!!!!

mimi namiliki gari la mkopo na nina mshahara wa 400k a month.

hiyo 25k a day 750k a month nitaitoa wapi?

au m2 akimiliki gari anakua tajiri automatically?
 
Mkuu,

Kamwe hawataweza. Nchi itabadilika sana kwani kwa siku tutakuwa tukikusanya zaidi ya shilingi bilioni 25 na fedha hizo zitakuwa kwenye akaunti maalum chini ya uangalizi maalum wa vyombo vyote vya habari na mtoa fedha MKUU ATAKUWA SHEIKH MKUU WA TANZANIA AKISAIDIWA NA MAMA MARIA NYERERE.

kwani shekh mkuu ana taaluma ya kutunza pesa?acha dhihaka na viongoz wa dini
 
Back
Top Bottom