MWENGE: Watoto chini ya umri wa Miaka 15 wafanyakazi ya Kuhudumia Bar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MWENGE: Watoto chini ya umri wa Miaka 15 wafanyakazi ya Kuhudumia Bar.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LEGE, Jan 9, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Jamani wana JF kuna grocery moja ipo mwenge pembeni na HOME GYM yaani kama unatokea msikitin mwenge unaanza mlango wa grocery hiyo ndiyo unaingia mlango wa HOME GYM.

  Ukifika katika grocery hiyo utakutana na vitoto vya kike vyenye umri chini ya miaka 12 ndiyo wanaohudumiwa na hukaa hapo mpaka mida ya saa 5 had 6.Kibaya zaidi wateja huvifanyia matendo machafu kama kuvishikashika na kuwaambia maneno machafu kama ni wakubwa wenzao.
  Kwa wale wote waendao kufanya mazoezi na hasa waangaliao mpira hapo wanafaham.

  Mim nilikuwa naomba hapa jamvin kama kuna mhusika yeyote ningeomba hatua kari zichukuliwe juu ya wazazi/walezi wa watoto hao.
   
Loading...