Kubenea na serikali ya CCM wana nini sirini?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Tangu amwagiwe tindikali kwa sababu ambazo hadi leo hazijulikani kutokana na kujitokeza madai mbali mbali kuanzia ugoni hadi uanaharakai, Mwandishi Saidi Kubenea amekuwa akienda India kila mara kutibiwa kwa gharama za serikali. Je hii ni takrima, wajibu au kukwepa lawama? Je ni wangapi wanaumia kazini na serikali haiwapi upendeleo kama huu isitoshe kwa mtu ambaye si mtumishi wake? Kunani nyuma ya pazia jamani?
 
Mimi ninadhani serikali inampeleka matibabu kwa sababu alimwagiwa tindikali na watu wa serikali, kwa hiyo serikali ikaona iwajibike.
 
Mi ninavyojua india huwa anapelekwa na mzee mengi but naweza nisiwe sahihi sana lakini ndivyo ninavyojua!
 
Back
Top Bottom