Wana JF,
Hope mu wazima,leo asubuhi nikiwa natokea kwangu maeneo ya njiro,nilipita nje ya nyumba ya Mheshimiwa Fatma Makongoro Nyerere anayojenga karibu na General Tyre,Wafungwa walikua ndio...
Nachofahamu mimi mipango yetu mingi ya makazi ya wananchi,mipango ya bima ya afya kwa wananchi na mipango mingine ya maendeleo inatumika katika nchi nyingine na kuwaletea maendeleo kuliko sisi...
katika mkutano wa hadhara uliofanyika temeke kata ya makangarawe Malimu Seif Sharifu Hamad alidai nanukuu gazeti la Mwananchi la tarehe 10 /01/2012''MIONGONI MWA TUHUMA ZA KUFUKUZWA HAMAD, NI...
wana JF leo tumjadili director of public prosecution ndugu eliaza feleshi, wengi wetu tunailaumu pccb kua haiwachunguzi wala rushwa na mafisadi lakini kazi ya pccb wakishamaliza file lote...
Yu wapi mvuaji wa vazi zito lenye giza nene lililo vishwa bongo za Watanzania? Kama yu mbali, basi si mbali kwa nguvu litatatuliwa ili tetesi zilizopo kuwa Tanzania ni ya pili kwa utajiri duniani...
leo alfajiri gari mali ya Bakhresa imetumbukia baharini. ni yale magari yanayo somba ngano kutoka bandarini kwenda kiwandani. ilikuwa ishapack mizani tayari kwa kupima uzito, dreva aliposhuka...
Radio Clouds isipoangaliwa italiangamiza taifa. Radio hii inayojinasibu kuwa ni radio ya vijana haina jambo la maana zaidi ya kuwajrngea watanzania utamaduni wa kitumwa, utamaduni wa kuthamini...
Takribani kama miezi miwili sasa VodaCom mmekuwa mnachemsha katika suala zima la network, simu especially BB 9900 Zinakata network mara ata 20 kwa siku inabidi utoe betri urudishe na ata ukiwa...
Chadema hakuna cha kupamba moto kwa ajili ya kuwania urais, wala hatuwezi kuwapo.Suala la muhimu kwetu ni namna ya kutafuta mizizi au vyanzo vya matatizo mbalimbali yanayokabili jamii pana ya...
kwa waliosikiliza marudio ya kipindi cha mwangaza kwa jamii kilichorushwa kuanzia saa 3.15 jana usiku watakubaliana na mimi kwamba hakunaga kama radio imaan.katiba ilidadavuliwa hasa na weledi...
Jamani mimi nimekua nakasirishwa sana na matangazo yanayotangazwa na vyombo vyetu vya habari ..halafu mwishoni mara unasikia linafadhiliwa na watu wa marekani....
1. Tangazo la kunawa mikono...
Mtazamo ndugu wana jf hii mnaionaje gen davis mwamunyange abadilishiwe post badala ya kuwa mkuu wa majeshi awe mkuu wa posta tz? Kama alivyo fanya mwai kibaki pale kenya ? Kwanini? Mauaji mbeya...
Naibu waziri wa tamisemi bw aggrey mwanri leo kawa mbogo kwa uongozi wa h/w chato kwa kuanzisha majosho katika eneo ambalo halina maji wala wafugaji jamaa alikuwa akirikaruka kama jogoo kidogo...
Hii si kitu kipya lakini ni vyema tukakumbushana
kuna watu wapo wamekaa wakilia kilas siku kuomba na kulia kwa mungu vitu mbali mbali
kabda nikupe formula moja ya kufanikiwa upatacho kuna vitu...
Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa...
Kumekuwa na mgogoro kati ya wafanyabiashara na mabenki huko uganda juu ya ongezeko kubwa la riba.wametishia kufunga biashara zao na pia kutoa pesa zao kwenye mabenki hayo.hii ni kutaka...
KAMPUNI ya China Railway Constraction Engeering Group kwa kushirikiana na Kampuni ya China Bridge imeshinda zabuni ya ujenzi wa daraja la Kigamboni ambapo ujenzi huo utachukua miaka...
Yupo mtu, raia wa Kenya aliwahi kuniambia kuwa, watanzania wote ni wezi. Nikamkatilia kata kata. Tukabishana sana, mwisho tukaachana bila kufikia muafaka. Lakini baadaye nikagundua kuwa, madai ya...
Asalaam Alyekum wana JF..!
Leo jicho langu limemuulika Mh.Edward Lowassa,waziri mkuu mstaafu! Kiongozi Aliyejijengea Heshima ndani na nnje ya nchi...!
Vile vile bila kusahau Mh.Edward Lowassa ni...