Kabla ya kumuomba mungu umewatendea nini wengine ?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabla ya kumuomba mungu umewatendea nini wengine ??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 10, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,082
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Hii si kitu kipya lakini ni vyema tukakumbushana
  kuna watu wapo wamekaa wakilia kilas siku kuomba na kulia kwa mungu vitu mbali mbali
  kabda nikupe formula moja ya kufanikiwa upatacho kuna vitu vingine hata ufunge na kusali
  vitaishia jina kwako na soln yake ni hi
  nakupa mfano mmoja tu
  unamwomba mungu ndoa
  unatakiwa ujiulize iwapo ulishawahi kukutana na matatizo ya mtu katika ndoa akakulilia na kukuelezea ulilichukuliaje swala lake na ulimsaidiaje vitu kama hivi ni vidogo ila mafanikio yake ni ajabu
  ni vyema kabla ya kumuomba mungu jiulize umewatendea nini wenzio??

  Unaomba mtoto
  unapata bahati yakukutana na dadako ama jiran ana matatizo ya mtoto wake ama chakula ama hata
  nguo na vingine jiulize ulimsaidiaje huyu na si lazima awe jirani hata wale yatima umejitoaje juu yao
  ili mungu akupe mtoto...nasema hivi nikimaanisha jamani

  unaomba kazi
  umemfanyia nini mungu...ukiwa uko free je ulikuwa hata unahudhuria kanisani na sikuhudhuria tu je
  ulijotaje na kanisa kwenye depp mbali mbali ukiomba mkumb ushe mungu anasika

  kuna mifano mbali mbali labda umekuwa ukiomba sana sana kwa mungu ujibiwi fikiria leo umemfanyia nini mwenzio

  usiku mwema
   
Loading...