Leo Nimeshangaa sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo Nimeshangaa sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chuchunge, Jan 11, 2012.

 1. chuchunge

  chuchunge Senior Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 131
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wana JF,
  Hope mu wazima,leo asubuhi nikiwa natokea kwangu maeneo ya njiro,nilipita nje ya nyumba ya Mheshimiwa Fatma Makongoro Nyerere anayojenga karibu na General Tyre,Wafungwa walikua ndio wanapanga concrete tiles chini asubuhi ya saa 2,Ninajiuliza kwa maadili ya viongozi ni sahihi kutumia wafungwa kwa kazi kama hizo especially ya mtu mkubwa serikalini anyejua sheria za nchi?
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ndiyo, nisahihi
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hapo hamna tatizo ww tu!
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wafungwa wanafanya kazi zozote za kijamii tena sio kwa viongozi tu bali hata kwa raia wa kawaida. Ukiwahitaji nenda Magereza utalipia pesa kisha utapewa kulingana na mahitaji yako, hivyo sio makosa hata kidogo.
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Kama amelipia sio tatizo, ila kama hakulipia ndio tatizo. wafungwa wanapaswa kuzalisha badala ya kukaa na kula bure bila kuzalisha. Kwanza wanatakiwa kufanya kazi za kijamii kuliko kukaa bure.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni sahihi kabisa, wewe pia ukiwahitaji kwa kazi yoyote nenda kaonane na mkuu wa gereza afu atakuambia ulipe kiasi gani kulingana na kazi unayotaka kufanyiwa.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hujui kuwa wafungwa siku hizi ni wajasiriamali?
   
 8. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mtoa mada hajui kwamba hata yeye akitaka kujenga watakuja tu.Tena hawana uswahili kama mafundi mafundi wa uswazi! Pia wanajenga vizuri sana.ukishalipia magereza hakuna tatizo.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wafungwa ni labor iliyopo tayari muda wowote!..nadhani kuna namna ya kulipia and then wanaletwa eneo lako la kazi!
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Je amelipia hao wafungwa? Ebu mtoa uzi fatilia hiyo issue.
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  tatizo lako ni
  1.. wafungwa kuwa nje ya gereza kabla ya saa mbili asubuhi? Au
  2.. wafungwa kufanya kazi za ujenzi kwa mtu binafsi? Au
  3.. wafungwa kufanya kazi za ujenzi kwa mtu binafsi ambaye ana wadhifa serikalini? Au
  4.. wivu wa kimaendeleo? Au
  5.. HUJUI?
   
 12. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nami kuna ambalo nimejifunza hapa/ nimeelewa hapa.
  shukrani
   
 13. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hakuna tatizo lolote hapo.Hawa wanatumika kama vibarua .Ukiwahitaji unaenda magereza na gharama zao zipo chini ,pia wanafanya kazi yenye uhakika.
   
 14. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ila kweli inawezakana Fatma kawachukua ki ubabe nchi hii si unaijua tena
   
Loading...