Hivi ndivyo Dr. Slaa anavyosema kwenye kurasa yake ya FB

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]Chadema hakuna cha ‘kupamba moto’ kwa ajili ya kuwania urais, wala hatuwezi kuwapo.Suala la muhimu kwetu ni namna ya kutafuta mizizi au vyanzo vya matatizo mbalimbali yanayokabili jamii pana ya Watanzania, kisha kutafuta majibu au suluhisho la kudumu, kwa kushirikiana na Watanzania wote wenye nia njema na nchi yetu.[/h]Nawakilisha
 
Ha ha ha

"meaning namna ya kuanzisha matatizo kwa jamii ili serikali ishindwe kutawala" Slaa
 
Kujua ku surf ni jambo moja,
Kujua unachokiandika ni jambo jingine.

Tatizo watu wanashindwa kutofautisha story za kwenye vijiwe vyao vya Gongo huko mitaani na hapa JF kwa Great thinkers.
 
Back
Top Bottom