Gen. Davis Mwamunyange aachie ngazi akawe Mkuu wa Posta Tz

BOKO HAARAM

Member
Oct 18, 2011
32
6
Mtazamo ndugu wana jf hii mnaionaje gen davis mwamunyange abadilishiwe post badala ya kuwa mkuu wa majeshi awe mkuu wa posta tz? Kama alivyo fanya mwai kibaki pale kenya ? Kwanini? Mauaji mbeya kmya?,wanajeshi wa congo kuingia hadi kigoma bandarini kmya?,mapigano ya jkt tabora kmya?,mapigano ya jwtz pale ngara na wanajeshi waasi wa burundi kmya?,al-shabab 28,50 kmya' etc sasa je huyu m2 yupo?au alikwishaga kufa zamani? Labda namuonea kumuliza maswali haya?
 
Mbona umesahau kulipuka mabomu mbagala kimya! kulipuka tena Gongolamboto kimya! na watu wamekufa na mali zimeharibiwa
 
hakustahili kuwekwa hapo ulipo ila kutokana na ushikaji wake na JK ndio maana yupo hapa kama pambo tu.
 
Halafu yuko wapi huyu?
Na lile so lake liliisha?
Yupo kimya kweli...haya ya CDM/wanaharakati kuhusu katiba mpya, nilitarajia angeshachimba mkwara lakini naona kimyaa!

Soo lipi? au lile la trilion 3? (sijui limeishia/limemalizwa vipi!:A S embarassed:)
 
mtazamo macho yake yalivyo halafu utapata majibu ya unachokilalamikia hakifanyi...
 
Ahaa ahaa. Teee tee kwani labda macho yake ni kwa sababu labda ya kazi ya geshi au memba wa laabda d cmrun
 
Mtazamo ndugu wana jf hii mnaionaje gen davis mwamunyange abadilishiwe post badala ya kuwa mkuu wa majeshi awe mkuu wa posta tz? Kama alivyo fanya mwai kibaki pale kenya ? Kwanini? Mauaji mbeya kmya?,wanajeshi wa congo kuingia hadi kigoma bandarini kmya?,mapigano ya jkt tabora kmya?,mapigano ya jwtz pale ngara na wanajeshi waasi wa burundi kmya?,al-shabab 28,50 kmya' etc sasa je huyu m2 yupo?au alikwishaga kufa zamani? Labda namuonea kumuliza maswali haya?

Mkuu, unaweza kutuchambulia suala moja baada ya jingine?

Jaribu kuongelea kuhusu jinsi mauaji ya Mbeya, wanajeshi wa Congo kuingia hadi Kigoma bandarini, mapigano ya JKT Tabora, mapigano ya jwtz pale Ngara na wanajeshi waasi wa Burundi na hili la Al-Shabab.

Uonyeshe udhaifu wa kijasusi katika kukusanya taarifa na kiutendaji katika kukabiliana na masuala haya kwa upande wa General Mwamunyange na kama ni yeye anahusika moja kwa moja au wale wawakilishi wake ambao wanatawala zile Brigade zote za maeneo hayo au wote hao kwa ujumla.

Fanya uchambuzi wako halafu tuone kama Gen. Mwamunyange anafaa kuendelea kuongoza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama au la.
 
Tatizo ni kwa presidential appointee zote maana tulishafanya kosa pale hayo yooote ni mwendelezo.
 
Mkuu, unaweza kutuchambulia suala moja baada ya jingine?

Jaribu kuongelea kuhusu jinsi mauaji ya Mbeya, wanajeshi wa Congo kuingia hadi Kigoma bandarini, mapigano ya JKT Tabora, mapigano ya jwtz pale Ngara na wanajeshi waasi wa Burundi na hili la Al-Shabab.

Uonyeshe udhaifu wa kijasusi katika kukusanya taarifa na kiutendaji katika kukabiliana na masuala haya kwa upande wa General Mwamunyange na kama ni yeye anahusika moja kwa moja au wale wawakilishi wake ambao wanatawala zile Brigade zote za maeneo hayo au wote hao kwa ujumla.

Fanya uchambuzi wako halafu tuone kama Gen. Mwamunyange anafaa kuendelea kuongoza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama au la.

Richard. Huyu hawezi kujibu maswali yako,uwezo wake umeishia hapo kama alivyopost.
 
Tena nadhani ameshindwa kumtofautisha huyo jamaa na IGP. CDF azungumzie masuala ya usalama wa ndani ya nchi ni kuingilia kazi za wenzake unless tukiwa na govt ka Egypt...nashauri mtoa hoja atakari zaidi!!
 
Richard. Huyu hawezi kujibu maswali yako,uwezo wake umeishia hapo kama alivyopost.
Dogo acha jazba! Kuna kitu kimeandikwa' mtazamo' kwenye hiyo topic sasa unapo jump kwenye conclusion unawanyima au unataka watu waowane na mtazamamo wako ' jadili hoja ,uliza usichokijua kuhusu hoja then utajibiwa,kama utahitaji iwe hivyo.watu huwa hawakurupuki dogo.kila kitu kitamwaga hapa jamvini kwa faida ya wengi'
 
Mi nafikiri huyu jamaa bora awe tu Station Master wa TRL kituo cha Tanga
 
Back
Top Bottom