Mh.Lowassa Be Careful...!

Tanzaniaist

Senior Member
Nov 29, 2011
161
156
Asalaam Alyekum wana JF..!

Leo jicho langu limemuulika Mh.Edward Lowassa,waziri mkuu mstaafu! Kiongozi Aliyejijengea Heshima ndani na nnje ya nchi...!

Vile vile bila kusahau Mh.Edward Lowassa ni mjasiriamali ambaye amewekeza kwenye sekta mbalimbali kama mawasiliano,utalii,hoteli ambako watanzania wameweza kufaidika kupitia ajira pamoja na kuongeza e pato la taifa kupitia kodi..!

Kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo yamekuwa yakimkumba mh.EL kama suala la kujiuva gamba pamoja na mbio za uraisi...,hapa nitafocus kwenye mbio za uraisi...

Napenda niseme kwamba mh.EL lazima atambue kwamba Binadamu mahali popote duniani ni wanafiki...siku zote binadamu atakupenda kwasababu ya PESA! Kumezuka kasumba ya watu kukusifia kwenye vyombo vya habari kama JAMII FORUM na kukutia moyo ugombee Uraisi..,lakini lazime uwapime hao wanaokufacilitate ugombee uraisi..,isije ikawa wanakufanya kama mtaji wa kukutoa pesa kila siku! kwani wengine wanakuona kama kiongozi wao hasa wapiga kura wako kule monduli na wengine wanakuona kama mtaji wa kupata pesa kwakuwa wanaamini kwamba wewe ni tajiri mkubwa ambaye uko tayari kutoa kiasi chochote kupata madaraka!

Nakuomba mheshimiwa kuwa makini na mitandao kwani hiyo hujenga na kubomoa! na hakuna watu wanafiki kama wanamitandao...,wengine wana dream uwe raisi wapate nafasi serikalini wengine wana dream uwe raisi wapate mianya ya kibiashara! lakini hebu tutolee mfano kama Mungu asingekubariki na Utajiri Uliokuwa nao ungekuwa kiongozi wa kawaida tu hivi wangapi wangekuwa wanakusifia kila siku kwenye JF au kwenye vyombo vya habari...,tuangalie hili suala kwa upande wa pili...!
Tumwangalie Nelson Mandela! yeye hakuwa tajiri au mfanyabiashara lakini watu walimpenda kutokana na uchungu wa kupigania haki za wananchi..,tumwangalie Mh.Mwai Kibako kwenye uchaguzi wa mwaka 2002 aliweza kummwaga Bilionea Uhuru kenyatta ambaye sasa hivi inasemakana ndio mtu tajiri afrika mashariki na kati...lakini nguvu ya umma ndio iliamua!

Tafakari Mheshimiwa! kwani nikiwa mtaani nasikia Lowassa na kitu kinachofuata ni neno Pata Pesa! be careful Mheshimwa
 
The Grand Power of Money

money-stacks.jpg
 
lowasa, lowasa, lowasa, lowasa, lowasa, kila siku lowasa.........................................................
kama ilivyo jina la m'kwere linavyoweka ********* nashauri na jina lowasa lisitumike JF, kila ukilitype iwe ******** nadhani itapunguza virusi kuzidi kuenea.
 
Asalaam Alyekum wana JF..!

Leo jicho langu limemuulika Mh.Edward Lowassa,waziri mkuu mstaafu! Kiongozi Aliyejijengea Heshima ndani na nnje ya nchi...!

Vile vile bila kusahau Mh.Edward Lowassa ni mjasiriamali ambaye amewekeza kwenye sekta mbalimbali kama mawasiliano,utalii,hoteli ambako watanzania wameweza kufaidika kupitia ajira pamoja na kuongeza e pato la taifa kupitia kodi..!

Kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo yamekuwa yakimkumba mh.EL kama suala la kujiuva gamba pamoja na mbio za uraisi...,hapa nitafocus kwenye mbio za uraisi...

Napenda niseme kwamba mh.EL lazima atambue kwamba Binadamu mahali popote duniani ni wanafiki...siku zote binadamu atakupenda kwasababu ya PESA! Kumezuka kasumba ya watu kukusifia kwenye vyombo vya habari kama JAMII FORUM na kukutia moyo ugombee Uraisi..,lakini lazime uwapime hao wanaokufacilitate ugombee uraisi..,isije ikawa wanakufanya kama mtaji wa kukutoa pesa kila siku! kwani wengine wanakuona kama kiongozi wao hasa wapiga kura wako kule monduli na wengine wanakuona kama mtaji wa kupata pesa kwakuwa wanaamini kwamba wewe ni tajiri mkubwa ambaye uko tayari kutoa kiasi chochote kupata madaraka!

Nakuomba mheshimiwa kuwa makini na mitandao kwani hiyo hujenga na kubomoa! na hakuna watu wanafiki kama wanamitandao...,wengine wana dream uwe raisi wapate nafasi serikalini wengine wana dream uwe raisi wapate mianya ya kibiashara! lakini hebu tutolee mfano kama Mungu asingekubariki na Utajiri Uliokuwa nao ungekuwa kiongozi wa kawaida tu hivi wangapi wangekuwa wanakusifia kila siku kwenye JF au kwenye vyombo vya habari...,tuangalie hili suala kwa upande wa pili...!
Tumwangalie Nelson Mandela! yeye hakuwa tajiri au mfanyabiashara lakini watu walimpenda kutokana na uchungu wa kupigania haki za wananchi..,tumwangalie Mh.Mwai Kibako kwenye uchaguzi wa mwaka 2002 aliweza kummwaga Bilionea Uhuru kenyatta ambaye sasa hivi inasemakana ndio mtu tajiri afrika mashariki na kati...lakini nguvu ya umma ndio iliamua!

Tafakari Mheshimiwa! kwani nikiwa mtaani nasikia Lowassa na kitu kinachofuata ni neno Pata Pesa! be careful Mheshimwa

ndio wanamtumia kwani ulikuwa hujui, juzi eti kaarikwa na kanisa la pentekoste kigoma kaenda kwenye harambee, what they need is your money! hata akina beno malisa wamempigia magoti na kuingia kwenye kambi yao ni pesa tu, tena kampa hadi gari vx mpya, hata mimi ningekusifia kila kukicha
 
Hawa wote wakina Serukamba wanamfuata EL kwa sababu ya pesa zake bila hivyo wasingekuwa nae!!
 
watu wameshajua miaka mitano hitoshi kufuatia mziki wa CDM uliowashwa mwaka jana,wewe subiri hapakaliki kila mahali hawa magamba ,Lowasa anamaliza pesa zake tu,unajua kutoa kanisani hata mwizi anatoa tu,mwisho ni kwamba kuingia mbiguni kwa tajiri na kumiujiza tu.Viva CDM mziki mzito 'kila siku People POWAAAH People POWAAAH ,hatufanyi kazi bila kufikia kwanza hii People 'PowAAH-says Mh,Mzengo K.P.P

Tanzaniast,

Hivi huyo Lowassa aliwahi kufanya kazi wapi kila siku akawa analipwa mil 1000, au ngoja nikurahisishie swali unadhani ugumu wa maisha wakati pesa ya kodi unatoa imechomwa moto au kuna namna watu wamejimilikisha mihela af wakaitoa ktk mzunguko.

Can you justify utajiri wake kautoa wapi?
 
Akipenda kutumia pesa, atumie lakini watanzania tunasema kazipata wapi!kazipataje! je hazitoshi mpaka atake kazi ya urais?na je kweli yanamkera kwa dhati matatizo na mahitaji ya watanzania kwa sasa! je uso wake ukimtazama anamanisha anachokisema!au ni kawaida ya chukua chako mapema kuja na misemo kila uchaguzi isiyokuwa na maana. Tunamhitaji mkombozi DK Slaa basi.
 
Back
Top Bottom