manaibu waziri wawasha moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

manaibu waziri wawasha moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Jan 10, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Naibu waziri wa tamisemi bw aggrey mwanri leo kawa mbogo kwa uongozi wa h/w chato kwa kuanzisha majosho katika eneo ambalo halina maji wala wafugaji jamaa alikuwa akirikaruka kama jogoo kidogo amkunje DED na akampiga kibao na kutoa siku 14 awe amewaleta wafugaji wa kutumia majosho hayo na maji ya kutumika.Ishu kama hii tena Bw Malima Adam naibu wake na Ngeleja nae kawaka mbogo ile mbaya kwa watendaji wa bomba la TAZAMA mkoani moro kwa kuzembea uvujaji wa mafuta uliopelekea wananchi kukosa maji safi na kuanza kuchota mafuta hayo kwenye maji jamaa kaongea hadi akataka kupanda juu ya meza bahati wazee walimtuliza akawaambia kuwa wote waliomchezea atakutana nao Dar. Natoa pongezi kwa utendaji huu wa hawa mawaziri wadogo na wakimbize hivyo hivyo wataukwaa uwaziri mkubwa soon hatutaki mchezo bana usanii sasa basi!!
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Source Tbc newz saa 2 ucku
   
 3. L

  Lilwayne Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanafiki wakubwa, wanaizaya wachambia ndimu? wanamfunika nani macho? kama sio uhuni ni nini? leo ndo wanaona? na wakati hayo yakitendeka walikuwa wapi?
  waache kutufunika macho kwa kitambaa transparent
   
 4. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  wanataka kuonekana wao ni zaidi ya magufuli hasa yule malima
   
 5. Kitumbo

  Kitumbo JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sasa unataka kutwambiaje? wasifanye kwa sababu Magufuli yupo au? na hapo kwenye red ndo unamaanisha nini?
   
 6. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa kaya atafanya mabadiliko kwenye baraza lake so hawajamaa wanawika midaa hii ili mkulu asiwasahau kwenye enzi yake
   
Loading...