Yu wapi mvuaji wa vazi zito lenye giza nene lililo vishwa bongo za Watanzania? Kama yu mbali, basi si mbali kwa nguvu litatatuliwa ili tetesi zilizopo kuwa Tanzania ni ya pili kwa utajiri duniani baada ya Marekani zianikike.
nimemsikia mzee malechela akiongea clouds fm jioni ya leo akisema tanzania ni tajri sana na kwa africa inazidiwa na DRC pekee, lakini kinachokosekana ni siasa safi na akili kwa viongozi wenye uwezo wa kubadilisha rasilimali kuweza kuwasaidia wananchi
tanzania ni tajiri sana kuna jamaa mzungu jina lake limenitoka alikuja maskini wakati anaondoka alikuwa tajiri watu wakamuuliza utajiri ameupata wapi akasema nimeupata Tanzania hii nchi ni sawa na mwanamke malaya
Ni nchi ya kwanza kuwa ya ajabu duniani kwa kukaribisha wageni masikini wa kutupwa na wanaporudi makwao wanakuwa ni mamilionea na kuwaacha wananchi wake wakiendelea kuogelea kwenye umasikini kisa, hawajui kwa nini wao ni masikini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.