VodaCom Mnaboaaaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VodaCom Mnaboaaaaaaaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arsenal, Jan 11, 2012.

 1. Arsenal

  Arsenal Senior Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Takribani kama miezi miwili sasa VodaCom mmekuwa mnachemsha katika suala zima la network, simu especially BB 9900 Zinakata network mara ata 20 kwa siku inabidi utoe betri urudishe na ata ukiwa nayo iyo network utakuta ime freeze we hujui lkn display inaonesha 3G ipo kumbe ngoma ime freeze haiingii email wala message!!! solutions mnazotoa ni za kijinga eti oh weka 2G badala ya 3G oh sjui utumbo gani ah...kwanza ata izo sim cards za 64K wanazotaka tu swap nazo hawana sasa kwanini mnatoa solutions ambazo hamuwezi tekeleza?????oh mara tumewaambia RIM wana sort sasa which is which????mnaboa sana VodaCom au ndo mambo ya sabotage koz mmeambiwa to re-apply your own jobs????? mi naamia AirTel from Saturday koz nimechoka na VodaCom uswahili wenu...:help:
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ahahaaa makubwa watu wamejichimbia huku wanaposti hata visivotakiwa huku
  dunia ni full raha jamani
   
 3. Arsenal

  Arsenal Senior Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  du! hii kali...Mode hamisha hii kwa sehemu yake husika....lol
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hapa Sipo Mahala Pake peleka ktk jukwaa la malalamiko.
   
Loading...