kwanini nchi yetu haiamini wasomi wetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini nchi yetu haiamini wasomi wetu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ilumbu, Jan 8, 2012.

 1. i

  ilumbu New Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nachofahamu mimi mipango yetu mingi ya makazi ya wananchi,mipango ya bima ya afya kwa wananchi na mipango mingine ya maendeleo inatumika katika nchi nyingine na kuwaletea maendeleo kuliko sisi tuliyoiasisi au ndio kwenye miti hakuna wajenzi?
   
 2. +255

  +255 JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,862
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mfano Prof Lipumba yupo hk World Bank anakula bata tu, nimesikia jamaa analipwa paund 300,000 kwa wiki..
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Siyo dola ni paund
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu nje wanatoa percent kubwa kwa viongozi wetu walioko kimslahi kuliko kutuhudumia
   
 5. +255

  +255 JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,862
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Thanx mkuu, nime edit..af kuna siku Membe alikuwa anazungumzia WaTZ walioko nje akawataja kuna Daktari bingwa wa upasuaji yp anategemewa S. America na kuna yule Mtanzania Waziri huko Uingereza
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,347
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Kubebana.Karibu sana.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,221
  Trophy Points: 280
  Wasomi unaozungumzia wewe ndo hao kina dr bana,nchimbi na wanafanania na hao? Au wengine?
   
 8. s

  sawabho JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Siasa katika utendaji.
   
 9. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,263
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wewe unawaamini wasomi wetu?
   
Loading...