BOMOA BOMOA ILIYOENDESHWA na askari wa kiongozi wa kidini Josephat Mwingira USIKU wa kuamkia jumapili, umekiacha kiwanda katika uharibifu mkubwa wa mali. Kiwanda hiki kinapatikana karibu na SUMA...
Jamani hii hali ya wananchi kuwa wanaingia migogoro na vyombo vya ulinzi na hata sasa kufikia hatua ya polisi kuwauwa raia sio halia njema hata kidogo inabidi utaratibu wa kuongea na wananchi...
Taratibu ya Trafiki kukagua gari mara tano au zaidi kwa safari isiyozidi 200 km ni usumbufu mkubwa(Trafik check kibaha,mlandizi,chalinze,mikese, morogoro round about) Gari ndio zile zile ,ukaguzi...
Kila mwaka aliyekuwa mnajimu na mtabiri maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein alikuwa akifanya utabiri. Mwaka huu Januari 13, mrithi wa kazi zake Maalim Hassan Yahya Hussein...
Mwaka jana kipindi kama hiki mjadala juu ya kikombe cha babu wa samunge ulitawala katika vyombo mbalimbali vya habari na maelfu ya watu kutoka ndani na nje ya nchi walifurika katika kijiji cha...
Kwa maoni yangu,kuna haja ya kuanzishwa somo toka elimu ya awali ambalo litajenga tabia ya kujiudhuru(kuresign)pale panpokua na utendaji mbovu,ukiukwaji wa misingi,sheria na kanuni za...
Shughuli za uokozi zimeendelea kutwa, huku wazamia mbizi wakipekua upande uliozama wa meli hiyo, Costa Concordia.
Msemaji wa walinzi wa pwani alieleza inawezekana kuwa watu...
Wana JF,
Nina leta taarifa hii kwenu ili kama kuna wahusika watasoma hapa basi wachukue hatua zinazostahili. Mchana huu nilipaki gari maeneo ya immigration karibu na jengo la UNDP la zamani...
Poleni walimu, viongzi wote wa TYCS na wanafunzi wote shuleni mwakaleli kwa kumpoteza mwanafunzi mwezetu Raphael Mathias, mwenyekiti sherehe mstaafu, Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi...
WANAJF;
KADRI TUNAVYOENDELEA KIFO CHA MBUNGE WETU MPENDWA MH. REGIA MTEMA, EBU TUSIKILIZE HUU WIMBO NA KUTAFAKARI MANENO YALIYOANDIKWA KWENYE HUU WIMBO. JAPO WIMBO UMEIMBWA KWA KINYARWANDA LKN...
WIMBO WA HALAIKI WA TANZANIA
1.Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote;
Nchi yangu Tanzania,Jina lako ni tamu sana;
Nilalapo nakuota wewe,niamkapo ni heri mama we...
jamani........................... tuacheni sympathy za kijinga,............................. hivi hapo chini kwenye bold, huo si ndio uchangu???...................... tena uchangu wa kijinga wa...
Kumekuwa na vita ya chinichini (cold war) kati ya ccm na wanafunzi wa udsm ambayo sasa imefikia hatua ya vita hiyo kuwa dhahiri,na huko tunapokwenda itakuwa kati ya wanavyuo wote TZ na ccm. Ni...
Akizungumza leo mjini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema anampongeza sana John Myika kuteuliwa na Chadema kuwa Mkuu wa Habari na Uenezi wa chama hicho...
Some body Manchali sijui Machali,Yupo live star t.v,hataki kuitwa mheshimiwa,ila anapenda kuitwa ndugu,
mada yao naona ni ileile'KUBALASANA KWENYE VYAMA'
Jamani house girl wa marehemu wa Regia naye amefariki dunia usiku huu...
Alikuwa kwenye ajali hiyo hiyo. Ni mmoja kati ya wale saba waliokuwa ndani ya gari
wakuu naombeni kama kuna mtu mwenye hizi taarifa,tunasikia viongozi wa dini walimfata na kumwambia aache kabisa tabia ya kusafiri hovyo hovyo kwani ni mzigo kwa taifa
tumefatilia sana hizi taarifa...
Hiv kwa kuangalia tu tofauti ya makabila kwa maana ya mfumo wa maisha,behaviours,attitude,n.k vina maana yoyote katika Tanzania,mbona makabila mengine yanaonekana active sana na mengine yana...
1. Mbunge wa rombo joseph selasini, juzi alimfunga paka kengele kuelezea jinsi baadhi ya wanahabari wa mkoa huo wanavyowanyanyasa wadau wao ili wapewe kitu kidogo. Habari hiyo imechelewa sana ila...