Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mpangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mzee Kibore, anayeishi mtaa wa Agrey, amegoma kuhamishwa katika nyumba ya shirika hilo, na kufyatua risasi mbili hewani ili kuwatimua wadai hao. Ujumbe wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nora Damian MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Abdallah Safari, amesema sera mbaya za Serikali katika mishahara zimesababisha mgomo wa madaktari. Amesema...
0 Reactions
47 Replies
22K Views
Imani za ushirikina zajitokeza Wakati Rais Kikwete akiingia uwanjani hapo, kulijitokeza dalili za uwepo wa vitu vilivyoashiria nguvu za ushirikina, jambo lililoonekana kuwashtua wasaidizi wake wa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Katibu mwenezi wa CDM Kilosa Bw. Ramond Mlama na Mjumbe wa Wilaya ya Kilosa Penfold Chimola wamekitosa CDM na kujiunga na CCM kwa kuwa CDM haina sera madhubuti, na CCM si chama cha wabaguzi na...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Katika hali isiyo tarajiwa, jeshi la polisi ambalo kwa mjibu wa katiba ya Jamhuri Muungano Tanzania ndio walinzi wa raia na mali zao ,askari wawili wamekamatwa wakiiba mtaa wa Msasani,Dares...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukiziangalia kwa umakini picha hizi, utapata majibu ya maswali kwa wepesi sana. Pamoja na kasoro zinazoweza kuanishwa katika mlinganisho huu, lakini ukweli utabaki umesimama.
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Nikiwa kama mtanzania wa kawaida,maana uwezo wa kwenda na kupelekwa India kwa matibabu sina,nimesikitishwa sana na Mh.Rais J.Kikweti alivyoshindwa kabisa kuutatua mgogoro huu wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi babu Ambilikile mwasapila hayupo?ajitokeze kuokoa maisha ya wtz maana tunaangamia sasa!huu ndo muda wa kupiga bingo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba uniambie ni vigezo gani unatumia kuendelea kumuweka Mh Ngeleja kama waziri wako wa Nishati na Madini? Juzi hapa tumepandishiwa bei ya umeme kwa unit ya umeme (40%) na pia tumesikia zaidi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natazama bunge hapa naona wabunge wanapongeza serikali kwa kumaliza mgawo wa umeme. Sijui wanaishi dunia gani kwani huku mwanza mgawo upo kama kawaida. maeneo mengine mgawo ni wa saa 12 mfano...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Hii ni habari ya uhakika kabisa kuwa CHADEMA iko kwenye target ya kusambaratishwa kwa kutengenezewa migogoro ndani ya chama. Moja ya watu walio katika utekelezaji wa mpango huo ni Dominick Mboya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mama Paulina Myovela alijeruhiwa katika ajali iliyomuua Regia Mtema amefariki dunia Muhimbili, baada ya kukosa huduma kutokana na mgomo wa madaktari.Na mpaka sasa ndugu wapo Muhimbili toka asubuhi...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Kijana Aludo Sanga (28) amefikishwa mahakamani Tunduma kwa kosa la kumfanyia vurugu Waziri wa Mambo ya ndani Shamshi Vuai Nahodha. Kama viongozi wetu hawatawasikiliza wananchi kesi za namna hii...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais tumia busara ili ushughulikie madai yao, kadri siku zinavyokwenda ndivyo hali inazidi kuwa mbaya itafikia kipindi itashindikana hata kufanya suluhu na madaktar.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naamini kumbukumbu zangu ziko sahihi sana, Mh Vuai alisema ndani ya wiki mbili kutakuwa na mabadiliko makubwa uhamiaji, sasa ni zaidi ya wiki 2 mabadiliko tayari au ? Naomba kuelimishwa huenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
leo jioni hii nilikuwa ninaangalia TBC1, wataalamu wa Tanesco, walikuwa wanaelimisha wananchi juu ya madhara ya kujenga au kufanya shughuli zozote chini ya nyaya za umeme mkubwa, sasa iweje...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni. mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Makamu wa Rais DR Mohamed Ghalib Bilal amepokea wanachama 2000 kutoka vyama mbali mbali vya upinzani mkoani pwani. wanachama hao 2000 walikabidhiwa kadi za CCM katika maadhimisho ya miaka 35 ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo hii ni siku ya tatu tangu kumalizika sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya uhai wa ccm. Hali ya uchafu ni mbaya sana, katika eneo lililotumika kwa mapishi kwa ajili ya chakula kwa watu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nimesoma hii nimeona ukweli ndani yake hebu soma, tafakari chukua hatua Ndugu zangu, Kwenye gazeti la Mwananchi jana Jumapili kulikuwa na habari ukurasa wa tano inayosema; “Mufuruki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…