Kwako Mh Jakaya Mrisho Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwako Mh Jakaya Mrisho Kikwete

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Geza Ulole, Feb 7, 2012.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,072
  Likes Received: 4,009
  Trophy Points: 280
  Naomba uniambie ni vigezo gani unatumia kuendelea kumuweka Mh Ngeleja kama waziri wako wa Nishati na Madini? Juzi hapa tumepandishiwa bei ya umeme kwa unit ya umeme (40%) na pia tumesikia zaidi ya dolla za marekani 50 zimepotea! Wewe unaonaje kuhusu hili swala?

  Je wapendezwa nalo? Na kama hapana kwa nini asijiuzulu kupisha uchunguzi? je huu uchunguzi unaoendelea unadhani utatimiza malengo kwa huyu Mh kuendelea kukalia kiti kile cha Uwaziri pale Nishati na Madini? Uzalendo umeenda wapi Mh. Rais maana hiki kinachoendelea kinaendana kinyume na madhumuni ya kupandisha bei umeme ukiachia mbali wahusika walijisahaulisha kwamba kuna financial institutions ambazo zingeweza kuikopesha TANESCO katika hicho inachopanga!

  Chondechonde Mh tusije kukatana mapanga, ubadhirifu huu hauvumiliki na tunakoelekea si kuzuri!
   
 2. m

  moshingi JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bahati yake Ngeleja, habari za wizi wizarani kwake zimefunikwa na mgomo
  wa ma-dr na posho za wabunge...
  Kwa sasa tupo bize na huu mgomo...usitusumbue kwanza... ngoja ukiisha ndio tumgeukie
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Habari hizi umezitoa wapi wewe, tupo source!
   
Loading...