Waziri wa mambo ya ndani kulikoni??

subash

Member
Dec 30, 2011
75
36
Naamini kumbukumbu zangu ziko sahihi sana, Mh Vuai alisema ndani ya wiki mbili kutakuwa na mabadiliko makubwa uhamiaji, sasa ni zaidi ya wiki 2 mabadiliko tayari au ? Naomba kuelimishwa huenda yamefanyika kimya kimya. Wana JF naombeni saada dugu
 
Anasubiri Sitta apeleke ushahidi kwanza masuala ya uhamiaji yatashughulikiwa baadae.
 
Mabadiliko tayari yameshafanyika,ingawa alitakiwa kupublicise/kuitisha press comference kutangaza mabadiliko hayo kama alivyofanya wakati anatangaza azimio lake.
 
Wale hawawezi.Alikuwa anatafuta umaarufu kwenye vyombo vya habari kuonyesha na yeye yupo.Yaani kuuza sura.
 
Naamini kumbukumbu zangu ziko sahihi sana, Mh Vuai alisema ndani ya wiki mbili kutakuwa na mabadiliko makubwa uhamiaji, sasa ni zaidi ya wiki 2 mabadiliko tayari au ? Naomba kuelimishwa huenda yamefanyika kimya kimya. Wana JF naombeni saada dugu

Hiyo ni kawaida ya magamba wanatoa ahadi kibao af hawazitimizi.
 
Back
Top Bottom