Mmoja ni JK Nyerere, mwingine ni JK Mrisho. Picha zinaongea

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
Ukiziangalia kwa umakini picha hizi, utapata majibu ya maswali kwa wepesi sana.
Pamoja na kasoro zinazoweza kuanishwa katika mlinganisho huu, lakini ukweli utabaki umesimama.

JK.jpg
 
Kama wewe ni mwafrika basi jiombe radhi ndugu, kama si Fidel ramani ya afrika labda isingekuwa hivi na kuna nchi ambazo zisingepewa uhuru daima, katutendea mengi kwa kujitolea, kama kuna mengine basi hakuna aliyetimia.
Mbona picha moja Kama dikteta Fidel Casto wa Cuba ?
 
mh..... kazi kwelikweli yani kawaona hao ma drug dealer wa marekani ndo wa maaaaaana na huyo si ni NAOMI CAMBEL? celeb wa UK mwenye nudity pics kibao kwenye net na still maadili yake F kweli Tanzania tuna rais asiye jua stutus yake km kiongozi kiumri tu ni jitu zima lakini mambo yake yakizamaaaaani....suti apewe bure..kumbe ndo maana HESHIMA yake imeshuka kwa kiwango cha ajabu coz HAJIHESHIMU....sijui anasali wapi?







/
 
Nimezipenda. Mmoja mpiganaji na mwingine celeb.

sina hakika sana na upiganaji wa Jk wa zamani,to me yeye na Jk wa leo ni walewale tu,isipokuwa alikuwa na advantage ya kuwa wakati wake hakukuwa na wasomi wengi wa kuyaona madudu yake,waliokuwepo kawaweka mfukoni.
Pia siasa zake za ujamaa uchwara zilibana vyombo vya habari,try kuimagine JF ingekuwepo wakati wake nini kingetokea?
 
Naogopa ban, huyu mkuu wa kaya ningempa neno ambalo asingelisahau katika maisha yake ya hapa duniani! Itoshe tu kusema jamaa aliutaka urais ili ajipatie vimwana kiulaini, alipize visasi kwa wale aliotofautiana nao hapo mwanzo, apate exposure ya kupiga picha na watu maarufu duniani, awape ulaji marafiki wenzake, awe na msafara mrefu na wa kifahari mahali popote anapokwenda na saluti juu, ili mradi nae ahutubie taifa, amkomoe baba wa taifa kwa kumwita isivyostahili,and the like.Inauma sana jamani.
 
Kumbe kuna wakoloni wngi kweli JF. Wa kwanza Richard Nguma. Vita vya maji maji waliviita Maji Maji REBELLION. Mwana mapinduzi Fidel Castro wanamwita Dicteta.
 
hivi ni kweli nyerere alikuwa anasema tai ni dalili za uvivu? kwamba huwezi kulima ukiwa umevaa tai? Mia
 
Back
Top Bottom