Askari polisi wakamatwa wakiiba Dar es Salaam

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Katika hali isiyo tarajiwa, jeshi la polisi ambalo kwa mjibu wa katiba ya Jamhuri Muungano Tanzania ndio walinzi wa raia na mali zao ,askari wawili wamekamatwa wakiiba mtaa wa Msasani,Dares salaam hatimaye kupigwa na raia wenye hasira .Nahisi hii inatokana na ugumu wa maisha na kupungua kwa madili,mishemishe na kitu kidogo kwani watanzania wamechoka . SOURCE: XXL-CLOUDZ
 
Heri yao wana ubavu wa kuiba, na sisi akina fulani tuibe nini? chaki? wakati hata "tuishieni" Mheshimiwa sana kazipiga stop?!!! Ubuyu nao siku hizi haulipi kabisa, Ice cream nazo umeme hamna
 
Posho wanajiongezea waheshimiwa peke yao, sasa hawa makuruta wao wafanyeje kukabiliana na ugumu wa maisha?
 
Pole sana Mpwa! Inasikitisha lakini hii ndio hali halisi,tusikate tamaa kwani naona mwanga wa mafanikio unapenyeza kwenye hili shimo tulilokuwepo !
 
Yeah, tusubiri Mpwa tuone, yaani in the last minute ndio tutauona wokovu wa kweli.....
Pole sana Mpwa! Inasikitisha lakini hii ndio hali halisi,tusikate tamaa kwani naona mwanga wa mafanikio unapenyeza kwenye hili shimo tulilokuwepo !
 
Posho wanajiongezea waheshimiwa peke yao, sasa hawa makuruta wao wafanyeje kukabiliana na ugumu wa maisha?

Hapo kwenye red! Kama na wao maisha ni magumu wagome kama wenzao wa Salvador, Brazil. Kazi yao kubwa kuwalinda magamba wakome kabisa!!
 
Nini!!? @source cloudz!! Aaah wapi! Siku nyingine ukipata newz kutoka mawingu efu em we zipotezee tu! Huna haja ya kuzileta janvini vinginevyo utatolewa nduki na wana jamii shauri yako.
 
unashangaa nini sasa
hii ndo kazi namba moja ya hawa jamaa
na wale wenzao af ya pili ndo hii tuliyowatuma

kwanza kuibia warz hasa wanyonge
kuua watu baada ya kuwaibia na
kusingizia walikuwa majambazi

kuiba vidhibiti baada ya kukamata
pamoja na maunga wezi tuuuu hawa jamaa

Katika hali isiyo tarajiwa, jeshi la polisi ambalo kwa mjibu wa katiba ya Jamhuri Muungano Tanzania ndio walinzi wa raia na mali zao ,askari wawili wamekamatwa wakiiba mtaa wa Msasani,Dares salaam hatimaye kupigwa na raia wenye hasira .Nahisi hii inatokana na ugumu wa maisha na kupungua kwa madili,mishemishe na kitu kidogo kwani watanzania wamechoka . SOURCE: XXL-CLOUDZ
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom