wabunge acheni unafiki

tsar

Member
Mar 15, 2011
74
2
Natazama bunge hapa naona wabunge wanapongeza serikali kwa kumaliza mgawo wa umeme.
Sijui wanaishi dunia gani kwani huku mwanza mgawo upo kama kawaida.
maeneo mengine mgawo ni wa saa 12 mfano bwiru.
Umeme wakatika saa moja na kurudishwa saa moja usiku.
Wabunge wa mwanza nao hata kusema hawawezi.
 
Back
Top Bottom