Aliyemtwanga Nahodha mawe Kortini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyemtwanga Nahodha mawe Kortini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by African American, Feb 7, 2012.

 1. African American

  African American Senior Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana Aludo Sanga (28) amefikishwa mahakamani Tunduma kwa kosa la kumfanyia vurugu Waziri wa Mambo ya ndani Shamshi Vuai Nahodha. Kama viongozi wetu hawatawasikiliza wananchi kesi za namna hii hazitaisha kwa sababu watu hawatatulia tena.

  Source: Mwananchi
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Chezea people ya mbeya amuulize bosi wake maana anaexprience ya kupigwa mawe
   
 3. African American

  African American Senior Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alafu eti wanasema lifanya "vurugu". Huo ni ujumbe tu, mengi yanakuja kama hawatasikia.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  angeulizwa taratibu alikuwa na ujumbe gani wa kuuwasilisha kwa mkuu huyo?...Huenda kuna kero inayomtesa sana kijana huyu!
   
 5. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama watampa uhuru wa kueleza kinachomkera, watataka kumfurahisha bwana mkubwa.
   
 6. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Ganja zinamponza huyu; sweka ndani akitoka adabu mbele
   
 7. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Usichezee Serikali, ina mkono mrefu. Kayataka mwache yampate.
   
 8. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  angemtupia kinyesi
   
 9. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,589
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Acha ushabiki jiulize kwanza kwanini huyu kijana kaamua kufanya hivyo.
  Alichofanya kijana huyu, mtu yeyote mwenye uchungu na angefanya ikiwa atapata nafasi ya kufanya hivyo.
   
 10. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Acha kutufundisha uoga kijana.alah hujui jela ni sehem yakuish pia?
   
 11. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Aa wp. Serikali hii ina mkono mfupi kinoma.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Wamemtoa kafara tu nahuakika huyo dogo ajashika hata jiwe
   
 13. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Kwa sababu mnajua viombo vya dola vinawalinda hata mkivunja sheria basi mtunyanyase namna hiyo eti tufunge domo. Siachi manati yangu hata nikiamka asubuhi ninayomkononi. Sasa tuone huomkono wa serikali ulivyomrefu hapa kwa madactari. Acheni kujidanganya, sikilizeni vilio vya wananchi.
   
 14. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Unaongea tu wewe sidhani kama ushawahi kulala police post hata cku moja.
   
 15. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama kuna utaratibu maalum wa kuwasilisha maoni yako kwa nn ufanye fujo; arooo weka ndani hiyo
   
 16. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ishu ni kwamba alikuwa anapinga matumizi ya magari ya serikali katika shughuli za CCM. Inasemekana umewekwa mpango kabambe wa kupambana na matumizi mabaya ya pesa zawalipa kodi, yeye akiwa mmoja wao
   
 17. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Mimi nakuja kumdhamini huyo shujaa. Wabongo wote tungekuwa na ushujaa huu mbona kingeshaeleweka siku nyingi!
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Kama huyu kijana aliweza fikia hatua kama hii ya kurusha mawe! Basi tutegemee muda usio mrefu watu kuchukua hatua za kujichoma moto au kujilipua!
   
 19. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145

  Kama Ganja zimemtuma kufanya hivyo basi ni heri kuvuta hiyo Ganja kuliko kuwa mfuasi wa ccm na ukaambulia vumbi la magari ya serikali yakija kijijini kwenu
   
 20. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama maneno yako yanawakilisha hisia za wengi basi kazi ipo.
   
Loading...