Tiba mmbadala loliondo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiba mmbadala loliondo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dik, Feb 7, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hivi babu Ambilikile mwasapila hayupo?ajitokeze kuokoa maisha ya wtz maana tunaangamia sasa!huu ndo muda wa kupiga bingo
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Siku zote biashara ya kisanii never being sustainable!
  Babu alishachora short term undurable deal, ameichangamkia faster na amewini yeye na familia yake kwa sasa kama ni Mbuzi wanakula majani ya juu !
  Waliokwenda kunywa KIKOMBE kama ni karata wamefungwa bila kutoka mrisi ! Kama draft wamefungwa Super ! Kama Football hata best looser imewapiga kanzu !.
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Nasikia Masheikh nao wameanza kuombea wagonjwa, sina uhakika nimeambiwa tu na rafiki yangu mmoja mjahidina
   
Loading...