Mamluki wamwagwa Arusha kuisambaratisha CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamluki wamwagwa Arusha kuisambaratisha CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chachana, Feb 7, 2012.

 1. c

  chachana Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni habari ya uhakika kabisa kuwa CHADEMA iko kwenye target ya kusambaratishwa kwa kutengenezewa migogoro ndani ya chama.

  Moja ya watu walio katika utekelezaji wa mpango huo ni Dominick Mboya ambaye inasemekana kuwa amepewa Tshs MILIONI 17. Wengine ni Fredrick kandoka, yeye ametoka Tanga, Agripina Josephat ametoka DSM na mwenzake Victoria Panga ambao wana kazi ya kujiweka karibu na uongozi na kuanzia mwezi januari 2012 wamekuwa wakihudhuria mikutano yote ya chadema kama wanaharakati wazuri. Wengine ni wanasheria wawili ambao inasemekana kuwa wamekuwa karibu sana na chama ili kutoa ushauri wa wa kisheria lakini lengo likiwa ni kuuteka uongozi na kisha kuufarakanisha.

  Habari ya kesi ya uchaguzi dhidi ya Lema isidharauliwe na chadema maana kesi hii imepaniwa na WAKUBWA kumpiga chini bila kujali kitakachotokea. Akili kichwani.

  Source: Jukwaa la Wananchi
   
 2. 1

  19don JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  asante kwa taarifa kutoka jukwaa lingine makamnda watalifanyia kazi
   
 3. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Hope wataifanyia kazi makamanda wote wanaohusika
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu hao wekundu wanajiwekaje karibu kwa viongozi?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  There could be a point here!..Kwa hali halisi ya Arusha hili si jambo la kuliacha lipite hivihivi!
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona usemi Dominck Mboya, katoka wapi? Au kwa sababu mjomba wake na Lema?
   
 7. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Acha ujinga, Pumbafff! inaezekana sana mmjoja wao akawa nduguyo.
   
 8. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Tunaomba haraka uongozi utupe taarifa muhimu tutamaliza kazi yao mara moja. Kweli Chadema wamekuwa waungwana zaidi, hili jambo linatakiwa lishughulikiwe mapema maana linagusa maisha ya mtanzania maskini kutaka kumwaangamiza, tupeni kazi tuwaonyeshee.
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Jana ritz katuabarisha kuna mgogoro CDM Arusha,Mwenyekiti Mheshimiwa E Nanyaro akakanusha leo waliotoa support kwa Nanyaro kwamba hakuna mgogoro wanakubali up mgogoro?.
   
 10. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Asante kwa taarifa mkuu,makamanda tuko chimbo mahala tukiwapiga msasa vijana wa Uzini jinsi ya kulinda kura zao baadaye tutahamishia majeshi Arusha.
   
 11. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Acha matusi. Kama huna hoja kaa kimya.
   
 12. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Hizi ni dalili za CDM kuweweseka. Ikifika 2015 si wanaweza kupata wazimu?
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Pamoja Kamandaaaaaaaaa!
   
 14. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,793
  Likes Received: 3,880
  Trophy Points: 280
  huyu ni mume mwenzio
   
 15. D

  Derimto JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nataka nikutoe wasiwasi kuwa CHADEMA iko macho kuliko unavyodhania na kila wanachopanga na kufikiria CDM. Iko mbele ya mawazo yao yaani wanapojipanga kwenda kulala Moshono wanakuta CDM. Iliashaamkia hapo na wanawatandikia magodoro ya miiba chama Mkaoani Arusha kina watu makini wasionunuliwa kirahisi hivyo wanaokuja na malengo yao wanaishia kuharibikiwa njiani kabla hawajafika popote.
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  something must be done to rescue the situation.
   
 17. l

  luckman JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  guys are working on it!haya yatajitokeza sana tena sana ila wako mikono salama!kiufupi tunawamudu!wanapoteza muda wao!mabadiliko ni kama upepo, hayazuiliki!
   
 18. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unatumia tumbo kufikiri...
   
 19. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Ipo hapo ilipo kukuletea habari hizi za ki intelijensia
   
Loading...